Tido Mhando ni kada wa CCM?

U

Umeandika vizuri sana.
Thanks bro, hapa jamvini tupo wengi! wenye depth of thinking na wide scope on issues na vululu-vululu kibao, ili mradi kapost chochote! Good eve broda.
 
Tido yuko sawa, anauliza maswali yanayompa msikilizaji nafasi ya kupata majibu meengi ambayo angependa kuyasikia kwa anayehojiwa.
 
Tatizo nikuwa mnataka afanye mtakavyo ninyi
Mmejengeka vibaya sana
Mtu akiisema vibaya serikali kwenu mnamuona anafaa,
Lakini akimsema mnaemtaka mnaona hafai.

Hamjampa kazi nyie hivyo muache afanye vile anavyo on a ni sawa
Km jpm akikosolewa unavyovua nguo hapa
 
Chukulia JPM anahojiwa na mwandish,
Mwandisshi akauliza...
" Wapinzani wanakuona wewe kama Dikteta, unasemaje juu ya hili!??"
Je swali hilo linamfanya mwandishi kuwa biased..??
Kwa kiongozi makini maswali ya namna hii yanalenga kumjenga kumuulizwaji atumie fursa kudadavua, kusafisha hewa na kujitetea
Kasheshe ni pale atakaposhindwa kuelezea, lakini hilo sio kosa la muuliza swali bali mjibu swali


 
As tym goes on uzee unaingia
 
Tunazungumzia weledi wa kuuliza maswali kama mwana taaluma! Ukisha kuwa biased, nitakuomba ujitoe kwenye kesi yangu kama ni mahakamani. Mahojiano ya leo kidogo yalikosa weledi tunaoujua kwa Tido!
mimi nimechek clip za yale mahojiano na lowassa mbona yalikuwa fair sana, au ni sehemu gani alipozingua?
 
mimi nimechek clip za yale mahojiano na lowassa mbona yalikuwa fair sana, au ni sehemu gani alipozingua?
Hapana, siyo kuwa alikkuwa nje sana, ila kuna baadhi ya maswali alikuwa anamsifia JPM kuwa anafanya vizuri kwa nini mnampinga. Hili siyo swali unalolitegema toka kwa Tido. Anaonyesha inclination fulani kama ulimsikiliza kwa makini.
 
Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?
Hapana Salimu Kikeke alitia fora maana hakupenda mhojiwa hata ajibu bali alitaka ajibu anavyotaka tu.
 
R
Leo alikuwa biased. Basi leo ameteleza, unajua sasa hivi kuna terror, na yeye hayuko tayari ku-antogonise mwajili wake na serikali. Leo Tido amehoji chini ya kiwango tunachokijua! Hakuna na tofauti na Sam Mahela na Msigwa!
Kwahiyo wewe ulikuwa unatakaje?
 
K
R

Kwahiyo wewe ulikuwa unatakaje?
Kwa kifupi alionyesha wazi kuwa sasa JPM amemaliza kila kitu hakuna haja ya kulalamika, maandamano etc! Alikuwa anatoa maswali akiwa na majibu yake tayari na hukumu yake. Nimeeleza humu
 
Hapana, siyo kuwa alikkuwa nje sana, ila kuna baadhi ya maswali alikuwa anamsifia JPM kuwa anafanya vizuri kwa nini mnampinga. Hili siyo swali unalolitegema toka kwa Tido. Anaonyesha inclination fulani kama ulimsikiliza kwa makini.
Magufuli anafanya vizuri kwenye baadhi ya mambo mkuu kama vile madawati, ila hata kama Tido ana maoni yake kuwa anafanya vibaya bado kuna wananchi wengi wanaona anafanya vizuri, so jamaa akaamua avae ule uhusika wa wananchi wanaomuona Magufuli anafanya vizuri lakini ukawa wanaminga na kuuliza swali kwa niaba yao
 
Zuhura yunus walisema wa ccm kikeke nae wakasema wa ccm na hata tido mhando nae wa ccm hahaha
 
Kubali ukatae Lowasa n mweupe sana kujibu hoja za papo kwa hapo...akikutana na watu makin kama kina tido,zuhura,kikeke,maalin haruki..anapepesa modomo tu...Tz tungeingia chakibibi kama kwel tungekubal ongoza na huyu bubu.
 
Watanzania wa namna gani Chanchilla! Wa Kanga, kofia na t- shirts! Hawa Lenin aliwadefine vizuri kama unakumbuka theories za development za Lenin na Max
 
Kubali ukatae Lowasa n mweupe sana kujibu hoja za papo kwa hapo...akikutana na watu makin kama kina tido,zuhura,kikeke,maalin haruki..anapepesa modomo tu...Tz tungeingia chakibibi kama kwel tungekubal ongoza na huyu bubu.
You might be right, but my argument is this: With the professionalism we know of Tido, today he was below standard! He was clearly biased showing vivid inclination towards government particularly JPM
 
Huwa hampendi kusikia vitu hasi,hata Tanzania Daima siku likiandika ukweli mtasema limenunuliwa
 
ushamfanyia nani mahojiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…