Tido Mhando aula Al Jazeeera


TBC mmefulia ..you are just praise singers ..nothing else..
 
Hongera Mzee Tido ulinzia safari yako ya kupanda kuanzia Nairobi baada ya RTD ya miaka ile ya 70....na baadae miaka ile ya 80 issue ya Robert Ouko ikakutoa....sasa umerudi tena Nairobi...Mungu akuzidishie...Ukimpiga teke Chura humuumizi bali ni sawa na kumzidishia hatua!!! Bora hata walivyokuzalilisha maana dunia isingekutambua ndani ya haya magamba....ulikuwa ndiyo mwisho wako kama walivyoichakachua hata BBC wakati ule wa uchanguzi .....ama kweli Magamba Noma......!!!! Kila la Kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…