Tido Mhando atemwa TBC


FRELIMO inaingiaje hapa?
Wewe ni Mtanzania? au upo maeneo ya Maputo?
 
Ujumbe mzuri itakuwa vema kama watangazaji wengine wakiiga,kwa sisi wabeba bokis tunakosa vingi vya nyumbani. Naona kaweka frelimo akimaanisha watanzania tuamke kama wanamsumbiji.
 
 
Kwaheri mwana mageuzi wa tasnia ya habari nchini ndg tiddo mhando, hii ndio tanzania yetu nchi ya ahadi, nasema haya kwa kuwa jana rais amemteua rasmi ndg clement mshana kuwa mtendaji mkuu wa shirika la utangazaji nchini ambalo awali lilikuwa linaongozwa na tiddo mhando aliyeleta mageuzi makubwa ya tasnia ya habari nchini

tiddo mhnado alikuwa bbc kama mkuu wa idhaa ya kiswahili na alirudi nyumbani kujenga taifa ila serikali yetu haina fadhila imemtema katika mazingira tata na kumuharibia future yake aliyokuwa anaota
 
Asilalamike asichokijua!!??, Wewe unajua nini kumzidi yeye??
 
Reactions: LAT

Yeah, Kwa heri Dunstan Tiddo Mhando as TBC is sagaciously and officially interred. RIP TBC....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…