Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
TID nae kazidi jamani! Kha! Mara dudubaya, mara hasheem thabit! Inawezekana akawa mchokozi!
Akome...
Wote mateja!sidhani kama walipigana kwani wote wameshatepeta na unga labda walikuwa wanakumbatiana kama majogoo yaliyochoka!!!ila kimtaani mtaani babuu mziki wa TID hauwezi kwani TID nyuma yake kuna watu wamenyongorota na ndo wanamtia jeuri ya kuanzisha tifuHuyo babuu naye atapiganaje. Na teja
Wote mateja!sidhani kama walipigana kwani wote wameshatepeta na unga labda walikuwa wanakumbatiana kama majogoo yaliyochoka!!!ila kimtaani mtaani babuu mziki wa TID hauwezi kwani TID nyuma yake kuna watu wamenyongorota na ndo wanamtia jeuri ya kuanzisha tifu
babuu si dio yule wa king'oko mshikaji wake mtoto wa vasco da gama?wote mateja!sidhani kama walipigana kwani wote wameshatepeta na unga labda walikuwa wanakumbatiana kama majogoo yaliyochoka!!!ila kimtaani mtaani babuu mziki wa tid hauwezi kwani tid nyuma yake kuna watu wamenyongorota na ndo wanamtia jeuri ya kuanzisha tifu
Habari zaidi toka eneo la tukio zilisema kuwa: "Watu waliwazunguka huku wakishangilia kwa muda wa dakika tano ngumi zinapigwa ndipo maabaunsa wakawaamua, lakini, tayari TID alikuwa ameshatolewa manundu kadhaa puani."
Miaka yangu 9 ya kuwa hospitali sijawahi kushuhudia 'nundu ya pua'...si kwa ajali wala magomvi!
Angekuwa wa kukoma angeshakoma siku nyiingi! wa mbili huyu, havai moja!
babuuu wa vichaa kawa na uso kama wa bibi kizee vinundu vya ngada na utozi wake wa kizamani,ubitoz nyangema,anajitutumua lakini hanogi tena tid nae siku izi sijui ata kama anaoga..kweli kila kitu kina mwisho.
"mastaa hao" kumbe bongo kuna star anaitwa babu? ngoja nirudi haraka inawezekana nakosa vingi.