Ticts mhh!

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Tulifanya interview mbili pale bandari , tukaambiwa tutapigiwa simu ndani ya siku 14 either umepata au haujapata ,sasa yapata wiki ya 6 , no missed call wala text , ndo nini hiki jaman ? Anyway me kazi nshapata but ticts this is not fair....ngozi nyeusi bhana....
 
Kuna Rushwa sana pale

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ajira zakujuana kaka,sisi tusio na ndugu serikalin tutakoma.
 
elimu kweli tunayo,lakn mpaka itaozea mikonon mwetu,wanasema tujiajili,hela ya nauli ya posta tu huna utaweza kujiajili mbna watoto wao wanawapatia ajira huko BOT.
 
Ila c tatzo tumwachie M/MUNGU,mana kuxma shda mpaka upataj wakaz shda duh,h kweli hatari.serikali yakdhwalimu xana,wanaxma hakna ajra hal kila sku watu wanaajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…