Ticket za Zari White party

Ticket za Zari White party

klorokwine

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
378
Reaction score
33
Wakuu naomba kujulishwa ni wapi kwa hapa dar naweza kununua ticket yangu kwa ajili ya kuhudhuri tamasha la Zari White party?
 
achana na party za kishoga

mambo gani ya white party? huna cha kufanya kujenga uchumi?
 
Ijumaa itakuwa siku ya kufungua Sabato na huo usiku irakuwa Sabato tayati
 
Jibuni swali wapumbavu.....!!!!kama haiwahusu ipotezeeni!.....mi wameniletea vijana wa clouds hapa ofisini kwangu... ni ya 3m kwa ajili ya meza moja....nafikiri hata za singles wanaweza kukuletea...just check with them...
 
Tulieni nyie ------- kina Obama wenyew wanasherekea ndoa za kina beyonc sembuse nyie nyau wa kawaida mim mwenyee niko serious sana karibu kila idara ila kwenye party ya Boss lady ningeenda cuz nataman nimpiku diamond niwage napiga lile toto jeupe maafaka
 
achana na party za kishoga

mambo gani ya white party? huna cha kufanya kujenga uchumi?

Unafikiri akinunua Ticket hajengi uchumi? Au unafikiri Mlimani City kwa Hiyo Party wameingiza Sh ngapi kwenye Uchumi na Kodi.. Fikiria Kwanza
 
ImageUploadedByJamiiForums1430470707.323434.jpg
 
Back
Top Bottom