Hii nchi kila mahali ni umafia tu.Kuna vijana 3 walikuwa wanauza hizo tiketi za elfu 5,kwa sh.elfu 15,na wanavitabu vingi tu,wao wamepewa na viongozi wa tff waviuze ktk hichmx cha juu,ambacho ni elfu 8,wao wauzaji wanapata 2500,na hao maboc wao wanawapelekea 5500!ni biashara nzuri,ndio maana kila mala hilo black market haliwezi kuishi.