fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
Source TBC1 news
"Ticha" Makamba amesema aliosema kuhusu Sumaye ni maoni yake.
Kuhusu mitandao na matumizi ya hela kwa ajili ya urais- CCM haina habari
Wana JF kauli za makamba dhidi ya Sumaye Zinaonyesha kuwa sasa Dalili za Kifo cha sisiemu kimewadia Source TBC1 Habari
nilisema asubuhi kuwa ....makamaba akijibu kikubwa atasema ni maoni yake ni si ya chama....na ndivyo alivyosema...hahahaa
</p>Hawa wanazidi kukivunja chama chao badala ya kukijenga,kwa jinsi Shigella alivyokuwa akijibu inadhihirisha kwamba ccm na mafisadi ni damdam...
Alichijibu Shigela ni hasira za kukosa kula si wamesema ni zamu yao waachiwe na wao wale.REST IN PEACE CCM.
Wana JF kauli za makamba dhidi ya Sumaye Zinaonyesha kuwa sasa Dalili za Kifo cha sisiemu kimewadia Source TBC1 Habari
CCM imefikia hatua mbaya inabidi hatua za haraka kukinusuru ili kusiende kombo zaidi. Hali hii haijawahi kutokea, kujibizaka kama bongo flava. Ni dalili mbaya ya kushindwa kutekeleza sera na kujielekeza katika ubinafsi.