Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
askariSwali la kujiuliza
-Je,aliyempiga picha ni mwalimu mwenzake,ama mwanafunzi wa dot.com?
Swali la kujiuliza
-Je,aliyempiga picha ni mwalimu mwenzake,ama mwanafunzi wa dot.com?
Yawezekana.....Daamn,sikufikiria hilo....askari
hajafanya pouwaYawezekana.....Daamn,sikufikiria hilo....
Probably....Mkaguzi wa elimu au mwalimu mkuu wa shule.
Nani,mwalimu ama mpiga picha?hajafanya pouwa
Hapo ukutani nyama yake kuna mkono unaonekani ni wa nani au wa mchawi!!Msimamizi wa mtihani anapocharaza usingizi heavy kama huyu, ni sherehe kwa wanafunzi.
Mtihani mwema kwa Darasa la 7.