Ticha kwa fiksi noma

Ticha kwa fiksi noma

mkudeson

Senior Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
104
Reaction score
16
TICHA: yani elimu siku hizi imeshuka sana na mitihani ya siku hizi imekuwa rahisi sana tofauti na enzi zangu.
MWANAFUNZI: kwani wewe ulisoma enzi zipi?
TICHA: enzi zile uwanja wa Man Utd ulikuwa ulikuwa unaitwa NEW TRAFORD.
 
Back
Top Bottom