Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 950
- 2,260
Hakuna cha sera unapopanga bei wewe serikali na kuamuru serikali inunue korosho unategemea nani aje kuwekeza????Nakubaliana, uwepo wa rais siku zote ni muhimu popote anapokuwepo, lakini hii haizuii wawekezaji kufaham mazingira ya biashara ya korosho kama nchi tunataka yawe ya namna gani.
Sera zetu zipo wazi katika utekelezaji pia,viongozi wa wizara wapo pia.
Watu wa kusini wanasemaga hukuna la maana..Yaani tangia Jiwe kuu amfukuze kazi yule mama Juliet Kairuki aliyekuwa huyu TIC kwa kutokupokea mshahara wake basi tena TIC imekuwa ya kipumbavu na kijinga.
Hakuna weledi, ushawishi, mbinu n.k hapo mmeitana mlipane posho kisha kina Mwambe watoe risala ndefu mwisho kila mtu aende nyumbani end of story