Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia Tanzania Investment Centre (TIC), EPZA, Tanzania
Tourist Board (TTB), TAN-TRA, BRELA etc. zote zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza iundwe Kampuni/Mamlaka mfano: BRAND TANZANIA AUTHORITY halafu hizi taasis ziwe idara ndog ndogo chini ya hiyo mamlaka katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.
Kwa maana nyingine ni sawa na kusema tuivunje IMF na WB tuunde kitu kimoja kwa maana hata hizo zinafanana majukumuNimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia Tanzania Investment Centre (TIC), EPZA, Tanzania
Tourist Board (TTB), TAN-TRA, BRELA etc. zote zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza iundwe Kampuni/Mamlaka mfano: BRAND TANZANIA AUTHORITY halafu hizi taasis ziwe idara ndog ndogo chini ya hiyo mamlaka katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.
Hapa nakukubali ila si kwa hii mifuko ya jamii iliyolundikanaTunakoelekea Huko mtashauri hata shule za msingi na secondari ziunganishwe na Kuwe na shule moja tu Tanzania nzima.
Point yangu iko pale pale, taasisi moja Kubwa is un manageable na inakuwa na ukiritimba. Moja ya Njia ya kuondoa ukiritimba na kuleta ufanisi ni kuvunja na kutengeneza multiple organization Amazon zitashindana zenyewe kwa zenyewe na hi yo kuleta ufanisi. Nafikiri mnaona minis sasa hivi jinsi mifuko ya jamii inavyo chacharika.