TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

Nchi hii ya ajabu mno taasisi kibao ufanisi kibao!! ulishaahi kujiuliza tofauti ya TACAIDS (Tanzania Commission for AIDS na NACP (National AIDS Control Programme)?. Kaz zile zile ila taasis 2. yote nn ukiuliza? ULAJI.
sasa wewe no kilaza wa mwisho. nani kakuambia NACP nayo ni taaisisi?? hiyo ni programu kama ilivyo Malaria Control Programme. TACAIDS ndo taaisisi inayohusika na masuala ya Ukimwi.
 
Nimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia
1. Tanzania Investment Centre (TIC) vs EPZA vs BRELA,
2.Tanzania Tourist Board (TTB) Vs TANTRADE,
3. Tanzania Employment Services Agency (TaESA) vs Public Service Recruitment Secretariat

Nyingi ya hizi taasisi zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza zipunguzwe katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.
Yale yale ya NIDA, PASSPORT, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA na DRIVING LICENCE
 
-Rasmi kibaha education center imefutwa, Hospitali ya Tumbi Sasa kuwa Hospitali ya Mkoa!
- NIDA na RITA kitu kimoja!
-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom