TIC- Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete Iliongoza Kuvutia Wawekezaji, Mitaji na Biashara. Awamu ya 6 ya Samia Yashika Nafasi ya Pili

Sasa Bora ukoloni mambo Leo unaleta uhakika wa Maisha
Maisha ya nani kama sio Maisha ya Watendaji wa Serikali peke yake?
kuliko ukoloni mambo Jana wa Mwendazake unaoleta na kufukuza ufukara.
Bila ya kumwezesha Mtanzania ni upotelevu wa Rasilimali Nchi na Kumdumaza.
Mafukara na maskini ndio wanaeza utamani huo Utawala wakidhani wote tutakuwa sawa.

Hayo ni maoni yako yaliojawa na fikra za "Savior mentality" Hakuna Nchi yeyote ile Duniani ambayo imewahi kuwaletea maendeleo Wananchi wake kwa kukumbatia Ukoloni mamboleo au utegemezi wa Wafanya biashara wa nje. That is a fact.

Itoshe, tatizo lako ni Uwakala na Ukuwadi wa mabeberu.
Good thing Magufuli hayumo kwenye Listi ya Mawakala wa Ukoloni Mamboleo.

BTW, hata Benjamini Mkapa(R.I.P) alikkiri kuwa alikosea sana katika sera zake za Uwezeshaji.
 
Maisha ya nani kama sio Maisha ya Watendaji wa Serikali peke yake?

Bila ya kumwezesha Mtanzania ni upotelevu wa Rasilimali Nchi na Kumdumaza.

Hayo ni maoni yako yaliojawa na fikra za "Savior mentality" Hakuna Nchi yeyote ile Duniani ambayo imewahi kuwaletea maendeleo Wananchi wake kwa kukumbatia Ukoloni mamboleo au utegemezi wa Wafanya biashara wa nje. That is a fact.

Itoshe, tatizo lako ni Uwakala na Ukuwadi wa mabeberu.
Good thing Magufuli hayumo kwenye Listi ya Mawakala wa Ukoloni Mamboleo.

BTW, hata Benjamini Mkapa(R.I.P) alikkiri kuwa alikosea sana katika sera zake za Uwezeshaji.
Maisha ya wakulima, wafanyabiashara Hadi Watumishi wa Umma yameimariia awamu ya 6 kushinda awamu ya 5 maana pesa Iko kwenye mzunguko, biashara zimeeudi na mazao ya mashambani yananunuliwa tena mfano mbaazi,mahindi,korosho nk
 
Hapa hapa niliona Uzi kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ngumu kufanya uwekezeji tena inashika nafasi ya 180 Kati ya 189🙌
Taarifa hii haikuletwa kupongeza. Ni kwamba taarifa hii inatumiwa kama front ya muendelezo wa kufifisha mafanikio ya Hayat Rais J.P.Magufuli. Ni propaganda tu.

Kwa Uhalisia, yeye ndio aliyoiwezesha TIC na upo Ushahidi wa Magufuli akitaka Sheria za Uwekezaji zifanyiwe kazi, mbali ya hayo aliamini kuwezeshwa kwa Mtanzania.

===============
Maisha ya wakulima, wafanyabiashara Hadi Watumishi wa Umma yameimariia awamu ya 6 kushinda awamu ya 5 maana pesa Iko kwenye mzunguko, biashara zimeeudi na mazao ya mashambani yananunuliwa tena mfano mbaazi,mahindi,korosho nk
Ukiondoa mtazamo wako ulioukuwa Biased. Haya unayoyasema yametokana na sera za Hayat Rais na maono yake. Piga Ua, haitatokea kamwe Nchi hii kuyataja mafanikio yake bila ya kutaja maamuzi magumu ya J.P.M.

Ukweli utabakia kuwa ukweli siku zote.
 
Taarifa hii haikuletwa kupongeza. Ni kwamba taarifa hii inatumiwa kama front ya muendelezo wa kufifisha mafanikio ya Hayat Rais J.P.Magufuli. Ni propaganda tu.

Kwa Uhalisia, yeye ndio aliyoiwezesha TIC na upo Ushahidi wa Magufuli akitaka Sheria za Uwekezaji zifanyiwe kazi, mbali ya hayo aliamini kuwezeshwa kwa Mtanzania.

===============

Ukiondoa mtazamo wako ulioukuwa Biased. Haya unayoyasema yametokana na sera za Hayat Rais na maono yake. Piga Ua, haitatokea kamwe Nchi hii kuyataja mafanikio yake bila ya kutaja maamuzi magumu ya J.P.M.

Ukweli utabakia kuwa ukweli siku zote.
Mafanikio kama yapo yanwezaje kufifishwa? Suku gang mbona mnaweweseka sana? Hakuna mtu anashindana na Marehemu lakini ulinganisho lazima uwekwe.
 
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka Kituo Cha Uwekezaji Tanzania -TIC kimeonesha msimamo wa awamu iliyoongoza kuvutia Wawakezaji,mitaji na Biashara Hadi awamu ya mwisho.

Viongozi waliofanya vizuri ni
1.Jakaya Kikwete-Awamu ya 4(Miaka 10)

2.Samia S.Hassan-Awami ya 6(Miaka 3)

3.John P.Magufuli-Awamu ya 5(Miaka 5)

4.Benjamin W.Mkapa-Awamu ya 3(Miaka 10).

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1782411632104165637?t=RvcxyNl_DYM5w1wIJGI3TQ&s=19

My Take
Takwimu Huwa zinaongea kuzidi Propaganda.

Kwa Mwendo huu,Samia akifikisha miaka 10 atawafunika woote tena mbali sana.

View: https://www.instagram.com/p/C6G5uQpIdYY/?igsh=MXFib2dpNnB4NTVzcw==

Uwekezaji wa kuuza Bandari & Ngorongoro unatija gani !.
 
Sasa Bora ukoloni mambo Leo unaleta uhakika wa Maisha kuliko ukoloni mambo Jana wa Mwendazake unaoleta na kufukuza ufukara.

Mafukara na maskini ndio wanaeza utamani huo Utawala wakidhani wote tutakuwa sawa.
Unafurahia wageni kula chakula cha watoto ilihali watoto wanalala njaa. Wageni wanalala chumbani kwenye vitanda watoto wanalala sebuleni, chini kwenye sakafu then mzazi unajisifia kwa ukarimu!
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Ila Hangaya inatumika nguvu kuubwa sana kutuaminisha kwamba mambo yako safi, ila huku site mambo ni tofauti.
Wachache wenye kamba ndefu ndio wanakula maisha.
Huko site kwako mambo yakoje? Hangaya amekufungulia fursa usipochangamka itaishiaekuona Kwa wenzako.
 
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka Kituo Cha Uwekezaji Tanzania -TIC kimeonesha msimamo wa awamu iliyoongoza kuvutia Wawakezaji,mitaji na Biashara Hadi awamu ya mwisho.

Viongozi waliofanya vizuri ni
1.Jakaya Kikwete-Awamu ya 4(Miaka 10)

2.Samia S.Hassan-Awami ya 6(Miaka 3)

3.John P.Magufuli-Awamu ya 5(Miaka 5)

4.Benjamin W.Mkapa-Awamu ya 3(Miaka 10).

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1782411632104165637?t=RvcxyNl_DYM5w1wIJGI3TQ&s=19

My Take
Takwimu Huwa zinaongea kuzidi Propaganda.

Kwa Mwendo huu,Samia akifikisha miaka 10 atawafunika woote tena mbali sana.

View: https://www.instagram.com/p/C6G5uQpIdYY/?igsh=MXFib2dpNnB4NTVzcw==

Wajinga mpo wengi
 
Back
Top Bottom