Ingekuwa ni enzi zile za Serikali yenye nguvu(1961-1985) under Strong Leadership ungekuta hao watu hapo juu wameshawekwa jela wakinyea ndoo lakini kwa enzi hizi za Serikali dhaifu(2005-2015) under Weak Leadership hao watu hapo juu wamepewa likizo ya kwenda kutanua mitaani wakitumia hela za masikini wa Tanganyika walizoiba kwa kalamu. Halafu mburura wa Tanganyika baadae utasikia wamewapokea majimboni mwao kishujaa. Hii ni Serikali ya aibu isiyokuwa na mfano.