Tiba ya mwanaume aliyelishwa limbwata

Tiba ya mwanaume aliyelishwa limbwata

nikiwekwaa libwata na miss chagga nipo razi...miss chaga naomba niwekee libwata :majani7:
 
....................ha ahhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaa bas ntakunywa tuuuuuuuuuuu ili limbwata liisheeeeeeeeeeeeeee
 
ila ningekuwa mkaka ngimwambia baby wangu aniekee na mie ili niwe namfaidi nitakavyo
 
Hahahahaaaa......acheni tuwawekee tuuuu.
Wanaume wenyewe nyie mlivyo macho juu juu mtadhani utupu wa kunguru awapo angani.

Na wewe akili zako zinakutosha wewe peke ako tu
 
Huyo mwanamke anaeweka limbwata hajiamini.

Na wengi wao ni maporipori
 
Dawa ya Limbwata la kwenye Papuchi ni rahisi mno; ukihisi tu umerogwa umepona Baba/Mama, cha kufanya usichelewe hasa kama mate bado moto moto! ni pale ukitia shaka chakula hiki cha leo nimekula kitu, Mfano unapo kata tonge kumeza anakuangalia jicho pembe!

Wakati mwaenda zenu sita kwa sita tayarisha mate then weka au paka Mate yako kwenye kichwa cha mboo yako! hata makoozi km yapo ili mradi ni yako. lkn asikuone! then wakati unaingiza mboo, jiapizie maneno haya ''wewe limbwata una masikio unasikia, na una macho unaona, ulipitia mdomo huu huu! kuingia kwangu, na ukakaribishwa na mate haya haya ya kinywa changu.'' pia ulitoka **** hii hii ya flani binti flani... ( Mtaje jina muhusika,)

Kama mate yana ozesha nyama hai, basi na Limbwata hili lilioza, kama hayaozeshi!!! wewe limbwata uko hai nenda sasa...

Sasa nakutuma wewe mate yangu uliyetunza uchafu huu, urudishe limbwata hili, kule liliko tokea na kuniingia mimi flani bin flani. likafaninyie kazi mara dufu na kwa ufanisi dhidi ya mwana wa flani (taja jina lako....flani bin flani) . zaidi ya ulivyotumwa! nenda... muhusika ukijua jina la Mama yake mzazi huyo alo kufanyia limbwata, ni bora zaidi.

Kwa mwanamke unapaka papuchi yako kwa mate! na ukimkojolea tu ndo limekwenda ivo na tena akiwa na Mimba, utapendwa mpaka na mtoto wako wa kumzaa!

! na ndiyo utamfanya yeye awe zezeta zaidi yako wewe unapona. hii ni hatua ya dharura tu kwa akina bro./ dada ukiwa na hisia za limbwata, km limekupitia, lkn zingine Nyingi zipo mfano kwa kutumia mti wa Mpera. zoezi hili likifanyike asijue
 
Back
Top Bottom