Prevo star
Member
- Oct 10, 2011
- 83
- 28
Hivi bado kuna Limbwata? na bado mnaliamini Limbwata?
Dawa ya limbwata ni kugonga mechi za nje bila ndomu, halishiki hata kama lilikuwa kali kama tindikali.
Shem....nakuona online.
Leo nimekuwepo kidogo mitaa hii shem...
aisee mbona hayo makitu ni uchau uchafu tu
Umeona eeeeh kwanini limbwata lisiwe chocolate au Ice cream jamani, mpaka sijui vinyama vikae wapi sijui. Na dawa ya kuondoa limbwata hadi iwe mikojo mbona Janga sasa hili!!
eti slim5 hii tiba ya limbwata ina ukweli ndani yake
mmmh miss neddy hii tiba aliosema The Don sina ufahamu nayo, ila pia inaniwia ugumu kuona tiba aliosema ina uwezo wa kuagua aina zote za limbwa!
Kwa mfano, kwa wanawake wa maeneo mengi ya Pwani, kama waki-opt limbwata la "KISOMO" uzoefu unaonyesha ni lazima wanaotaka kukutibu wamtafute "mtaalamu" yeyeto yule wa "VISOMO" vya aina ile, ndio tiba inaweza kupatikana, kwa kisomo kinyume!
Kuna lile limbwata linalohusisha kaburi la mtoto, changamoto ya tiba ktk limbwata hili ni kwamba, lazima kwanza "mtaalamu" asome "gprs" kujua lilipo kaburi lililotumika wakati wa kumtengeneza mwanaume, kupatikana kwa kaburi hili ndio hatua ya kwanza ya tiba, hebu chukulia mfano, wanandoa wanaishi DSM, mke kaaga anasafiri, kisha kaenda kwa "fundi" TABORA, mganga nae, ili apige hela ndefu kachagua KABURI stahiki, lililopo somewhere KIGOMA! Mteja hapa hana choice, lazima akubaliane na "fundi!"
Kwa kifupi tiba iliosemwa, bado inanipa mashaka, kwa vile ilivo rahisi, nadhani wengi wangepona, na huku wahanga wa limbwata wapo wengi sana ktk jamii, na familia zimeshindwa kuwaagua!
Ila kuna moja nimeambiwa, (naifanyia kazi) eti limbwata ukijilisha mwenyewe (mwanaume) basi kuanzia siku hiyo, hakuna mwanamke atakaeweza kukuwekea limbata kamwe na likakudhuru!
The Don HHHK Madame B Dinazarde kabanga barafuyamoto watu8 Chitemo binti kiziwi

Hii ni kwa wanaume wote waliooa na ambao waliopo katika mahusiano,iwapo mwanamke kaamua kumchezea akili mwanaume kwa kumwendea kwa mganga/waganga kwa lengo la kumpumbaza,tatizo hili laweza tatuliwa na mama mzazi wa kijana kiurahisi,hii ni kwa kutumia mkojo wake mwenyewe,inashauriwa kuuweka kwenye chai atakayokunywa mwathirika hata kama ni limbwata la wapi atafunguka kuanzia siku hiyo.
Onyo;ladies punguzeni kuwalisha wanaume zenu madawa ya ajabajab mtajatuua au kutuchizisha bure
miafrica ndivyo tulivyo
Huo mkojo ni wa nani - mama mzazi au kijana aliyepumbazwa.
Najaribu kuunganisha hii habari na usemi kwamba kule India urine therapy imeenea sana. Watu wanakunywa mkojo wao wenyewe kila asubuhi. Mmoja wa watu waliowahi kuwa Waziri Mkuu India alikuwa muumini wa therapy hii. Kama mleta maada ana maana aliyepumbazwa anywe mkojo wake, basi kule India limbwata halina dili!
Mkojo wa mama mzazi wa kijana aliyelishwa limbwata mkuu
Hahahahaaaa......acheni tuwawekee tuuuu.
Wanaume wenyewe nyie mlivyo macho juu juu mtadhani utupu wa kunguru awapo angani.