SoC01 Tiba ya mtoto kikojozi ushauri na dawa za kumeza

Stories of Change - 2021 Competition

MWAG

Member
Sep 15, 2021
7
5
Ni siku nyingine tena mpndwa nafasi nyingine ya kushukuru Mungu kwa uzima tuliopewa pamoja na kwamba tupo katika shindano lakini kipaumbele ni kusaidia jamii zetu zinazo kumbwa na matatizo mbalimbali ni nafasi hadhimu tuliyo pewa na Sir God tukawezeshwa na jamii forums nguvu tunayo uwezo tunao na nia pia tunayo tutapambana na matatizo yetu karibu mpendwa usisahau kunibless kura yako.

KUKOJOA KITANDANI(NOCTURNAL ENURESIS)
Tatizo la kukojoa kitandani ni tatizo ambalo linawatesa watoto wengi sana bila shaka na wazazi pia maana tabia hii inachangia kuharibu magodoro na vitanda pia hili tatizo ni kawaida tu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano lakini ni shida inayohitaji matibabu na ushauri wa kitabibu kama mtoto ataendelea na tabia hiyo hili jambo sio la mzaha kuna watoto wanaingia kidato cha kwanza na hili tatizo wanaishia kuaribu vitanda vya shule lakini kubwa zaidi wanazalisha na kunguni humo mabwenini iliwahi kuripotiwa huko shule moja maharufu sito hitaja kwa jina ingawa mm pia nimeshud- a huko shuleni kwetu shule mbili tofauti niliyosoma ordinary level na advanced level shida ni kwamba inatesa kisaikolojiawausika wanashindwa hata kuanika magodoro wako ladhi walale pabichi so sad!!!

KUKOJOA KITANDANI AU NOCTUNAL ENURESIS KITALAAMU NI NINI?
Ni kipindi mtu anakojoa bila kutalajia wakati amelala kwa watoto wa zaidi ya miaka mitano na zaidi ambapo hali hii inamtokea walau mara mbili kwa wiki katika kipindi cha zaidi ya miezi mitatu na zaidi.
istilahi nyingine zinazo weza kutumika ni kama udhaifu wa kukojoa wakati wa usiku (night time urinary incontinence),kulala mbichi (sleep wetting) na kitanda kibichi (bedwetting)
Chuo kikuu cha Dar es salaam walitoa maana yao kwamba "udhaifu wa kukojoa kitandani wakati wa usiku ni hali ya kukojoa kwa kujirudia kitandani au kwenye nguo ambayo inatokea walau mara mbili kwa wiki na zaidi kwa miezi mitatu mfululizo kwa watoto wa zaidi ya miaka mitano na sio kwasababu ya madhara ya dawa au matibabu.
Lakini kama mgonjwa atakuwa na vigezo hivyo basi the DSM-iv definition allows psychologist to diagnose noctunal enuresis if the wetting causes the patient clinically significant distress

AINA ZA UDHAIFU WA KUKOJOA KITANDANI WAKATI UMELALA
Kwa kigezo cha hali ya hewa kuna daytime lower urinary tract symptoms ambazo ni :-
1/Non monosymptomatic noctunal enuresis
2/Monosymptomatic nocturnal enuresis

lakini pia inaweza ikagawanywa katika makundi mawiliambayo ni kama haya yafuatayo
1/Primary Ncturnal enuresis
2/Secondary Nocturnal enuresis

~primary nocturnal enuresis
hili ndio tatizo sugu zaidi na linawapata zaidi watoto takribani asilimia sabini na tano za watoto wanahili tatizo.
hapa mtoto anakuwa awezi tena kukaa bila kukojoa anakuwa na matukio memgi zaidi ya kujikojolea kuliko siku ambazo anakuwa mkavu

~Secondary nocturnal enuresisi
hali hii umtokea mtoto pale anapo kaa kwa mda mrefu bila kukojoa kitandaniakiwa amelala usiku kwa takribani miezi sita na zaidi na kisha hali ile ya kukojoa kitandani wakati akiwa amelala wakati wa usiku inamrudia kwa mara nyingine.
Hii hali inaweza kusababishwa mvurugiko wa kiisia (emotion stress) au inaweza ikawa ni kutokana na hali ya kimatibabu (medical condition) kama vile kibofu cha mkojo kushambuliwa na bacteria

EPIDEMIOLOGY OF NOCTURNAL ENURESIS
EPIDEMIOLOGY NI NINI?
Hili ni tawi la sayansi tiba linaloshughulika na matukio,kusambaa na uwezekzno wa kuudhibiti ugonjwa na sababu nyingine zinazo usiana na ugonjwa.

Udhaifu wa kukojoa kitandani wakati wa usiku wakati wakiwa wamelala ni tatizo linalo sumbua watu wengi kipindi cha utoto wao nadhani wewe utakuwa shaidi wa hili.kiwango cha kusambaa kwa ugonjwa huu kinatofautiana kutoka asilimia tatu nukta nane had asilimia kumi na nane nikta tisa katika nchi mbali mbali.Katika nchi ya marekani inakadiriwa watoto kati ya milionitano hadi milioni saba wameathiriwa na tatizo hili na asilimia sitini ya watoto walio athiriwa na tatizo hili ni wavulana na asilimia arobaini iliyobaki ya waathirika wa hili janga ni wasichana.Historia ya familia ni jambo la muhimu kulijua kama tatizo lilikuwepo kwa baadhi ya wanafamilia na imeleta majibu chanya kwa asilimia hamsini yaani nusu yake.katika umri wa miaka mitano asilimia kumi na tano hadi asilimia ishirini na tano wanajikojolea kitandani wakati wamelala lakini asilimiakumi na tano kwa wale wanao kojoa kitandani inapungua kwa watoto wanao komaa kiakili 'maturity'kwahiyo asilimia nane ya watoto wa miaka kumi na mbili wanaume na asilimia nne ya watoto wa miaka kumi na miwili wa kike wanakojpoa kitandani lakini ni asilimia moja tu hadi asilimia tatu tu ya adolescents bado wanakojoa kitandani.katika asilimia kumi na tano hadi asilimia ishirini na tano ya wanaokojoa kitandani wana tatizo la secondary enuresis lakini katika njia za matibabu zimeleta matokeo saw saw na yaliyo talajiwa.

VITU VINAVYO SABABISHA UDHAIFU WA KUKOJOA KITANDANI WAKATI WA USIKU
1/Udhaifu wa kukojoa kitandani wakati umelala unategemea vitu vitatu ambavyo ni kama vifuatavyo
~Uzarishaji wa mkojo wakati wa usiku;-mtoto yeyote ambaye anasumbuliwa na hili tatizo la mkojo kuzalishwa kwa wingi wakati wa usiku akiwaamelala kuliko uwezo wa kibofu chake cha mkojo kutunza mkojo awezi kuamka kwenda kukojoa.
~ufanyaji kazi wa kibofu usiku (noctunal bladder function)
~sleep and arousal mechanism

SABABU HATARISHI ZA KUJIKOJOLEA KITANDANI
~Historia ya familia imekuwa ikichangia kwa zaidi ya asilimia hamsinijuu ya tatizo hili la kujikojolea kitandani imesaidia kujua tatizo pale tu unapo pata historia ya familia husika.
~maambukizi yanayo weza kutokea katika njia ya mkojo (Urinary Tract Infection(UTI))
~Kupata choo kikugumu(chronic constipation) hii inapelekea wakati kinyesi kimejaa na mtoto anashindwa kupata choo basi inapelekea kusababisha mgandamizo katika kibofu cha mkojona kupunguza uwezo wa kibofu kutunza mkojo.
~kutokuwa na msawaziko sawa wa homoni zinazo zalishwa mwilini utotoni kuna baadhi ya watoto wanakuwa hawazalishi homoni za kutosha (anti diuretic homone (ADH))ILI KUPUNGUZA kasi ya kuzalishwa mkojo wakati wa usiku ii inapelekea mkojo kuzalishwa kwa wingi tofauti na uwezo wa kibofu.
~Wasiwasi na msongo wa mawazo pia unaweza kupelekea mtoto kujikojolea kitandani
~ugonjwa wa kisukari mgonjwa anakuwa anakojoa mara kwa mara
~Sababu za kima tibabu kama kunywa dawa
~adhabu za kuvuka viwango

DALILI ZA UGONJWA
~Historia ya kujikojolea kitandani mara kwa mara
~Historia pia ya kutojikojolea hapo katikati
~Historia ya kufanya mazoezi ya kwenda chooni wakati wa usiku
~dalili ambatanishi ni kama maumivu wakati wa kukojoa,kukojoa mara kwa mara,kupungua uzito ,kupata choo kigumu
~historia ya ugonjwa wa kusinzia

MATIBABU YA UGONJWA WA KUJIKOJOLEA KITANDANI
LENGO:-Kumuangalia mtoto walau afikishe miaka sita hadi saba
-kulinda heshima ya mtoto na utu wake
-kuimalisha mfumo wa mkojo katika utendaji kazi
-kutibu magonjwa yanayo sababisha tatizo hilo mfano kisukari,UTI

MATIBABU YA KITABIBU
-DDAVP(desmopressin)hormone tablets-dose ya sfuri nukta mbili hadi sifuri nukta sita millgramwakati mtoto anaenda kulala hii itasaidia kupunguza uzalishaji wa mkojo wakati mtoto amelala
-Tricyclic antidepressants(TCAs)-amitriptyline maximum dose ni 0.9-1.5mg per kg for 3 to 6 months
-Anti cholinergic drug kama vile oxybutyinin-five millgram kwa masaa kumi na mbili hii dawa itasaidia kupunguza kibofu kusinyaa na kuongeza uwezo wa kibofu kuhifadhi mkojo

USHAURI WA KITABIBU
-MOTIVATINAL THERAPY
mtoto inatakiwa azuiwe kunywa maji masaa mawili kabla ya kwenda kulala hii itamsaidia kutokojoa kitandani

-BEDWETTING ALARMS
kitanda kitatoa mlio wa sauti pindi kitakapo sense unyevu hii itamsaidia mtoto kuamka na kwenda chooni kujisaidia

-KUTUMIA NGUO ZA NDANI ZINAZO FYONZA UNYEVU UNYEVU
-KUTUMIA KARATASI LISILO RUHUSU MAJI KUPITA
-KUMPA MAZOEZIYA DHARULA

Ni hayo tyu niliyo kuandalia kwa leo mpenzi msomaji OMBI LANGU KWAKO NI KUNISAIDIA KUNIPIGIA KULA MAKALA HII JAPO SISTAILI LAKINI NAOMBA UFANYE HIVYO KWA MAKALA HII NA MAKALA YENYE KICHWA CHA JAMII FORUMS HABARI KATIKA KURASA SALAMA
AHSANTE NA OMBA USHAURI WAKO PIA MIMI MWANDISHI CHIPUKIZI JUU YA MAKALA ZIPI ZA AFYA UNGEZIHITAJI ZAIDI
 
Asante kwa maelekezo haya. Naomba dozi ya hizo dawa za matibabu kwa mtu mwenye kg 58. Asante
 
Back
Top Bottom