Tiba ya kudumu ya bilateral adenoids &tonsilits | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiba ya kudumu ya bilateral adenoids &tonsilits

Discussion in 'JF Doctor' started by NZURI PESA, Jan 28, 2012.

 1. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  Habari wakuu,matabibu,madakta na wenye uelewa wa hii kitu. Mwanangu alikuwa natatizo linalotambulika adenoids tonsilits.amekwisha fanyiwa upasuaji mara 5 toka mwaka 2005 -2011 ktk hospitali ya Taifa Muhimbili. TONSILECTOMY ADENOTOMY mara 2 na ADENOTOMY pekee mara 3.na mara ya mwisho ni Juni 2011.Hivi sasa anapata tabu kupumua na anakoroma sana. Naomba ushauri wenu kama kuna TIBA mbadala zaidi ya UPASUAJI.Natanguliza shukrani
   
Loading...