Tiba ya kipara

Tiba ya kipara

Status
Not open for further replies.

Hmaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
346
Reaction score
86
Jamaa mmoja mwenye kipara alikwenda kwa mganga ili apewe dawa ya kuotesha nywele kipara chake. Mganga akamuuliza kama ana mke, jamaa akakubali. Basi mganga akamwambia dawa yake ni kusugua ule upara kwenye k*m* ya mke wake kwa siku 3. Jamaa kusikia vile akadharau na kumwona mganga ni mwongo kwa maana kwamba kama hiyo ingekuwa dawa mb*o ingekuwa na afro.
 
Hahaha... Napita tu

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Jamaa mmoja mwenye kipara alikwenda kwa mganga ili apewe dawa ya kuotesha nywele kipara chake. Mganga akamuuliza kama ana mke, jamaa akakubali. Basi mganga akamwambia dawa yake ni kusugua ule upara kwenye k*m* ya mke wake kwa siku 3. Jamaa kusikia vile akadharau na kumwona mganga ni mwongo kwa maana kwamba kama hiyo ingekuwa dawa mb*o ingekuwa na afro.

kumbe kuna wagonjwa humu ndani aaah aaah aaaaaaaaaaaah
 
sijui kwa nini nilifungua huu uzi! halafu asubuhi sijui kama leo nitapata hela!
 
tehe tehe tehe teeeeeeeeeeeeeeeeeee...uuwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii... huyu nae,,,, sijui kafikiriA NINI JAMANI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom