Wakubwa ninasumbuliwa na huu ugonjwa.
Nimeshakwenda hospitali wakanipa Omeprazole(PPI).
Mara ya kwanza nilidhani Omeprazole itatibu kabisa uishe ila baada ya kuwahoji madaktari na kufanya research binafsi nimefahamu kwamba huu ugonjwa hauna tiba ya kuumaliza kabisa.
Madaktari wanashauri nibadlishe life style ikiwa ni kuepuka physical and psychological stress,kuepuka baadhi ya vyakula na kula masaa mawili au limoja kabla ya kulala na mengine.
Pia kuna operesheni inayoitwa Nissen sugery ambayo inadaiwa ndiyo inayoweza kumaliza huu ugonjwa kabisa lakini kuna side effects zake.
Lengo la kuweka thread hii ni kuwaomba wenye kufahamu tiba za kienyeji za huu ugonjwa wanisaidie. MiziziMkavu
na wengine mnaojua tiba za kienyeji naombeni mnisaidie maana sitaki kufanyiwa operesheni.
Huu ugonjwa sio wa kumlaza mtu kitandani ila umeniathiri sana kiakili maana mimi ni kiongozi wa praise and worship kanisani kwetu ila acid kutoka tumboni zimeua kabisa sauti yangu, siwezi tena kuimba, na mimi maisha bila kuimba kanisani nayaona hayana furaha.
Natanguliza shukrani.

Last edited by a moderator: