Tiba mbadala isiyo na gharama

Asante Mkuu Ngoshwe na wewe pia umo kwenye hizi Tiba Mbadala............ Ubarikiwe vipi ulipona tena na Maradhi ya Ulcer?
haswaaa...
ulcers kwishne mkuu ni vijigesi tu kwa mbali vinasumbua lakini nikipiga mtungi mwingi.

shukran
 
kazi yako nzuri sana... Natumaini wengi watafaidikia...my concern weka source ya ulipotoa hayo mavitu au reference.. That is how we do things.. Kuapriciate kazi ya mwenzio ndo jambo zuri..otherwise... safiii..
 
Back
Top Bottom