KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Last edited by a moderator:
bibie ummu kulthum Dawa za kienyeji hizo tiba mbadala.MziziMkavu @work
Mkuu Mwanaweja Hata kama wewe si muislam nenda kwake atakupa dawa utatumia na kupona ili mradi uwe na imani ya dawa anayokupa tu itakuponesha.MziziMkavu mbona huyu Dr. Sulley anaongelea zaidi waislam sasa kama mimi sio muislam itakuwaje?