mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Poleni sana mungu amponyeWahariri salaam,
Nawajulisha kuwa muda mfupi uliopita Neville Meena amefanyiwa vipimo nchini Afrika Kusini na madaktari wanaendelea kumpatia tiba.
Madaktari wamesema tatizo alilokuwa nalo Meena ni la kawaida na wala halihitaji upasuaji.
Wamesema watamwangalia kwa siku chache kisha atarejea nyumbani.
Nimezungumza na Meena na mkewe wanawasalimia na kuwashukuru sana.
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Deodatus Balile
Kaimu Mwenyekiti
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)View attachment 873432