Tiba asili: Mbono au Mnyonyo ni mmea unaotibu magonjwa sugu

Yanatumikaje mkuu??
Simply ... Kanunue mafuta ya nyonyo katika maduka ya dawa za asili

Kisha muhusika awe anajipakaza katika uke kidogo asipake mengi ..narudia tena kidogo Katika uke awe anafanya hivyo kila baada ya kumalizia kufanya tendo la ndoa

Hayo mafuta yana uwezo wa kuua nguvu ya sperm zinakuwa hazifanyi kazi
 
  • Thanks
Reactions: wax
Habari Tanzania!

Wataalamu wa afya, uchumi na fedha, watafiti na wapenda biashara na maendeleo wote kwa pamoja naomba muwasaidie watanzania wamechoka na magonjwa sugu na kuwa walemavu pasipo sababu...
Kama ni mmea ukitumia kama dawa kisha ukarudia kupata huo ugonjwa uliye jiambukiza unakufa basi huo mnyonyo haufai kuwa ni dawa huo mmea bora usiweke kabisa matumizi yake.
 
Back
Top Bottom