Tiba asili: Mbono au Mnyonyo ni mmea unaotibu magonjwa sugu

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
FB_IMG_1594469890443.jpeg
Habari Tanzania!

Wataalamu wa afya, uchumi na fedha, watafiti na wapenda biashara na maendeleo wote kwa pamoja naomba muwasaidie watanzania wamechoka na magonjwa sugu na kuwa walemavu pasipo sababu.

Mmea wa mbono au mnyonyo unatibu majeraha , magonjwa na maradhi mbalimbali kama ifuatavyo;

1. Kuvunjika au kuumia katika mwili.

2. Ushoga - Kukoma kabisa hii tabia kwa anaependa kuacha kabisa (Onyo: Ukijitibu na ukarudia unakufa).

3. Kutibu jino au meno yaliyotoboka.

4. Uzazi na kurahisisha kuzaa.

5. Kukuza au kurefusha unywele

6. Gonjwa zote za zinaa (Ukijitibu ukapona na ukarudia tabia yako, unakufa).

7. Kifua kikuu.

NB
Majani na utomvu wa huo mmea ndio vitumikavyo katika kutibu maradhi sugu. Kuwa mwangalifu maana huu mmea unasumu ambayo inaweza kuua.

Okoa pesa yako na muda. Hii tiba ndani ya wiki 1 unapona kabisa.

Huu mmea unapatikana hasa maeneo yenye makaburi au porini porini.

Karibu.

Update
Njia nzuri na bora kwa ajili ya kujitibu ni kama ifuatavyo;

a) Kwa aliyevunjika mfano mguu, nyonga, mkono, kidole au amepata mchubuko mwilini atatakiwa apashe au kuyachoma hayo majani katika moto yasiungue sana kisha ajikande nayo sehemu yenye shida. Kutwa 1*3.

b) Ushoga; Anachemsha majani katika chungu au sufuria asilifunike mpaka lichemke na kutokota haswa kisha anajipiga nyungu sehemu yenye shida kutwa 1*3 kwa siku saba.

c) Jino unajiwekea utomvu au mafuta ya huo mbono yatokanayo na mbege yake sehemu yenye shida.

d) Uzazi; Hapa unachemsha mizizi yake unakunywa maji moto kutwa 1*3 kwa siku 7. & Kuzaa utakunywa maji ya majani yake yaliyochemshwa.

d) Magonjwa ya zinaa na TB hapa utakinywa maji moto ya mizizi yake 1*3 kwa wiki.

e) Nywele: Hapa utapaka utomvu au mafuta ya mbegu ya mbono katika eneo lenye shida na tatizo la ukuaji wa nywele. Kwa wale wenye kukuza nywele watakuwa wanajipata utomvu kama vilainishi vya nywele.
 
2 n 6 umeongeza chumvi hahahaha eti ukirudia unakufa.

kwamba nikijitibu gono nkarudia kupiga pampu viumbe wawili wa 3 nakata moto kama ntaupata tena ugonjwa
 
2 n 6 umeongeza chumvi hahahaha eti ukirudia unakufa.

kwamba nikijitibu gono nkarudia kupiga pampu viumbe wawili wa 3 nakata moto kama ntaupata tena ugonjwa
Ukumbuke magojwa ya zinaa yapo mengi na yote yanatibika kikubwa acha zinaa.
 
Unywele ni nywele (hairs) au ni unywele katika lugha ya tafsida??
Nywele zote. Mfano mtu anatatizo la kipara, mwanamke mpenda kukuza nywele na watu wote walio na matatizo yatokanayo na ukuaji wa nywele zao.
 
MNYONYO SIO M'BONO
Hii no mimea miwili tofauti. Hiyo hapo pichani ni minyonyo sio mibono
 
Umeeleza vizuri, lakini hujaeleza jinzi ya kutumia, na hapo ndipo wengi wanapahitaji.
 
Pia mafuta yake Yana tumika kwa kupanga uzazi wa mpango

Huo Mmea ni balaa una blessing kibao
 
Picha uliyoweka ni ya mnyonyo siyo mbono. Kama unayumba hivi tutaamini vipi dawa yako?

Utauwa watu mkuu.
Soma sentensi ya maneno yangu tena utajifunza kitu.

Kama utakuwa na mashaka fanya tafiti. Usinichukulie mimi kama chanzo chako halisi cha taarifa.

Karibu.
 
Ungesema mmea unatibu Nguvu za kiume basi like zingekuwa kibao na comments usipime!!
 
Back
Top Bottom