Tia neno

Tia neno

unachukia watu alafu kila siku nakuona unachana nywele na mdada pembeni unakuwa umetoka kufanya dhambi ya uzinzi kwa hiyo unakuhusu moto... pole mkuu
Ni mke wangu huyo huwa ananilazimisha kila siku nimpe dozi, sasa kila ninapokwenda ananifuata nimpe. Hapo kwenyewe amenuna eti nachelewa kumpa mshedede.
 
Ni mke wangu huyo huwa ananilazimisha kila siku nimpe dozi, sasa kila ninapokwenda ananifuata nimpe. Hapo kwenyewe amenuna eti nachelewa kumpa mshedede.

loh!!!! mpe tamu yake aiseee asije gawa tamu yako kwa wengine
 
nashukuru nilivyoshiriki uchaguzi mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2010 sikujisumbua kumpa kura nilichagua mbunge tu na kura yangu haikupotea bure
 
loh!!!! mpe tamu yake aiseee asije gawa tamu yako kwa wengine
Hata ukimpa asubuhi mchana anataka urudi nyumbani umpe tena, ukimpa mchana na usiku anaanza kuishika shika mpaka ikasirike nimchape tena.

Tatizo lake wivu, hiyo yote anataka kupakua risasi zote nitoke mtupu, anajua bunduki ikitoka na magazine full inaweza kuua swala au hata tembo njiani.
 
1798496_698862273492142_306345263_n.jpg

Samwel Luhanga...
 
Na hapa alikua mdhaifu kwelikweli

Usimuone hivyo ukadhani alikuwa dhaifu. Hapa ndiyo alikuwa yuko fit hakuna mfano, huyu ni mwanajeshi perce mtaalamu wa judo na alikuwa ni mwalimu wa maofisa wa jeshi kwenye chuo chao hapo Monduli, au hujui hilo?
 
Hata ukimpa asubuhi mchana anataka urudi nyumbani umpe tena, ukimpa mchana na usiku anaanza kuishika shika mpaka ikasirike nimchape tena.

Tatizo lake wivu, hiyo yote anataka kupakua risasi zote nitoke mtupu, anajua bunduki ikitoka na magazine full inaweza kuua swala au hata tembo njiani.

kwa hiyo kwa sasa uoni tena utamu? imekuwa kero? kugegedana gani huko loh!!!
 
Back
Top Bottom