Thubutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thubutu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amoeba, Nov 7, 2009.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Katka kuhangaika kwangu na dunia hii nimekuja kugundua mambo kadhaa ambayo napenda "kushea" na wanaJF woote.

  1. Mungu akikuleta duniani lazima akuoneshe njia kwa muda flani tu, ukipita muda anadeal na wengine (hii nadhani n kwa sababu ana watoto wengi sana)

  2. Mara nyingi pesa huchungulia kwanza mfukoni kwako kama kuna wenzake inakuja, kama hakkuna hata senti HAIJI N'GO! (Usitumie mpaka senti ya mwisho, ikibidi lala njaa ili uwe na salio kidogo mfukoni)

  3. Hapa Tanzania kuna pesa nyingi sana, tena bure kwa kila mtu, ni akili yako tu, ukishastuka hautakaa unaamka saa12 kumuwahi BOSI

  4. Huwezi kuvumbua bahari mpya kama unaogopa kuloose site of the shore! ukikaa miaka mitatu sehemu haieleweki ONDOKA, usiogope kutomwona baba, mama kwa muda mrefu.

  5. UKIFIKISHA MIAKA 35 KIJANA HAUJAJUA RAMANI YAKO JUA UMEPOTEA!

  6. Watu wana mipango zaidi kuliko matendo! usiogope kuwekeza, na ukiwekeza ujue kuna FAIDA an HASARA. Utaskia stori ooh!...alianza na kuuza maji!!..ujue aliweka nia na AKATHUBUTU. NA WEWE THUBUTU
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nina`querry no2, na ninakataa katakata no 5
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Msisitizo:
  2. vyanzo vingi vya pesa vinahitaji uwe na pesa ili upate pesa, kama hauna pesa unapitwa na pesa kaka.

  5.Ukifikisha miaka 35 kijana hauna ramani (haujui unafanya nini dunia hii) JUA UMEFULIA!!! Kila mtu ana ndoto nyingi, kama hazijatimia kwa umri huu atakuwa frustrated na kupoteza kabisa uelekeo
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  no2:Ok, kumbe vyanzo vingi, na si vyote...hapo una convincing power ya kutosha .................no5: Ihave a lot of friends, neighbours,pals and relatives who have gripped on coins at their late 40s, and they are veeeery comfortable...no frustrations, no craziness, ni raha tu!..................NO 7:Dont scare your companero dude...! 2 and5 ni maneno mbofumbofu.
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  hao kuna uwezekano kuwa walikuwa na ramani tayari. fikiria tu mwenyewe miaka 35 bado kijana ndy kwanza hajui ocupation yake!! du! hapo anatakiwa awe fisadi ndy aweze kutoka...au asubiri kudra.
   
Loading...