ThrowBack: Inaumiza sana

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,212
1ST YEAR
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia
msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita
"Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri
na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,
lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.
Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes
za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia
darasani siku iliyopita. Baada ya kumpa akasema
"asante" na kushikana mikono na mimi.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too
shy, and i ddnt know why.!
2ND YEAR.!
Simu yangu iliita, kupokea alikuwa yeye alikuwa
akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her
heart, she asked me to come over because she didn't want to be alone. Kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi
ilinibidi kwenda kumfariji.
As i sat next to her on the sofa, nilikuwa nikimuangalia
Machoni nikitamani awe wangu. Baada ya masaa
mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na
kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida. Hivyo akaamua kwenda kulala, before
akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa
tabasamu tamu.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka
tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too
shy, and i ddnt know why.! 3RD YEAR
Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja
kwenye meza yangu leacture room na kuniambia
"Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba
unipe kampan leo usiku katika tamasha la muziki"
Kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi
tutaenda pamoja just as "friends" hivyo tukaenda.
Katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki
kufungwa, nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi
nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki
zake, she saw me looking to her she smiled at me. I want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo
kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo. Then she said to
me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana"
and she gave me a sweet smile.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka
tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!
GRADUATION DAY.!
Siku, wiki, mwezi vikapita... ilikuwa ni mahafali yetu
tukimaliza masomo ya chuo. Akainuka kwenda
kutunukiwa shahada yake ya Uchumi. Nilikuwa
nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile. I wanted her to be mine, but she didn't notice me like
that, and i knew it.
kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,
alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali, na
kulia pale nilipomkumbatia. Akainua kichwa chake na
kuniambia "you are my bestfriend asante sana" Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka
tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too
shy, and i ddnt know why.!
MIAKA MITATU BAADAE.!
Nikiwa kanisani Yule Msichana alikua anaolewa.
Nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life. Moyo wangu ukapasuka "paaa"...
Akaolewa na mwanaume mwingine.
I wanted her to be mine, but she didn't see me like
that, and i knew it. Lakini kabla ya kwenda ukumbini,
alikuja kwangu na kusema "asante sana, u have been
my best friend ever" kisha akanikiss kwenye paji la uso akiwa na vazi lake la harusi.
Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka
tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too
shy, and i ddnt know why.!
KWENYE MAZISHI.!
Miaka mitano baadae, nilikuwa kwenye ibada ya mazishi ya binti nilimpenda lakini nikaogopa
kumwambia.. Binti aliyekuwa my best friend.. I looked
down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye
alikuwa ni "bestfriend" wangu.
Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya
Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo. Mchungaji akasoma yaliyokuwemo kwenye
Diary.. ilikua ikisomeka hivi;
"I stare at him napenda awe wangu, but he doesn't
notice me like that, and i know it.....
Alisoma mchungaji kisha akaendelea...
"Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too
shy, and i ddnt know why.!"
Niliishiwa nguvu... katikati ya kundi la watu nilipiga
magoti nikilengwalengwa na machozi... maneno yale
yalinichoma hasa ukizingatia kuwa nilimpenda lakini
niliogopa kumwambia.. kumbe na yeye alinipenda pia lakini aliogopa kuniambia... I wish ningemwambia
ukweli... ila nilishachelewa... Sipo nae tena...
ameshatangulia mbele za haki.!
MORAL OF THE STORY.!
Vunja ukimya. Be free when u love someone kuwa
muwazi kwake.. Usimfiche.. Usiogope kumwambia.
Copied:
 
Yaani umenikumbusha nyuzi nyingine mtu lioga kutema cheche kinachotokea anakuja lia humu MMU
 
ulijuaje kama alikuandikia wewe hayo maneno?anyway siku hizi hatuna aibu bali tunaogopa gharama.
 
Nimejikuta tu naimba

There's always that one person
That will always have your heart

You never see it coming cause
you are blinded from the start

Know that you're that one for me
It's clear for everyone to see
Ooh baby
you'll always be my boo

...........................
 
Nimejikuta tu naimba

There's always that one person
That will always have your heart

You never see it coming cause
you are blinded from the start

Know that you're that one for me
It's clear for everyone to see
Ooh baby
you'll always be my boo

...........................
Nani kaimba huu wimbo?
 
Hii ishapostiwa sana humu...acknowledge source please usiwe kama Mrs Trump na speech ya Clinton
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom