View attachment 47682
Nani kasema hawajazaliwa????????????
Demu mwenyewe kafubaaaa utasema kajipaka majivu. Ebu nijinywee Savana yangu miee nijiandae na kazi kesho. Ptuuuuuuuuu (nimetema mate kwa kichefuchefu)
Demu mwenyewe kafubaaaa utasema kajipaka majivu. Ebu nijinywee Savana yangu miee nijiandae na kazi kesho. Ptuuuuuuuuu (nimetema mate kwa kichefuchefu)
halafu nahisi wewe ni ajuza...khaaa yan unahulka za ki Faiza foxy.
Ukiona kinang'aa jua kimegaramikiwa
Acha wivu.mtoto mkali kakufunika mwanzo mwisho,we utakuwa kati ya wale wanaomaliza mwaka bila kotongozwaDemu mwenyewe kafubaaaa utasema kajipaka majivu. Ebu nijinywee Savana yangu miee nijiandae na kazi kesho. Ptuuuuuuuuu (nimetema mate kwa kichefuchefu)
wewe ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini, na uzuri wa mtu upo machoni pa mtu. na kama wewe unajiona mkali wengine wanakuona wa ovyo tu na haufai popote pale wala ahera hufai.Kinyago cha mpapure demu mwenyewe kapauka vibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaya,hafai msikitini wala kanisani