barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Sijajua ya Wales, Ireland na uskochi, ila England ndo niliyomaanisha.ulimaanisha UK au England as England?
Sijajua ya Wales, Ireland na uskochi, ila England ndo niliyomaanisha.ulimaanisha UK au England as England?
ulimaanisha UK au England as England?
Mkuu kuna mchezaji wa Barcelona alitupiwa ndizi kwa mambo haya ubaguzi,ila kilichonifurahisha yule jamaa aliokota na akaila kwa kuonesha hajari.TUJIKUBALI HALAFU TUWAKAUSHIE....UONE KAMA HAWATATUPIGIA MAGOTI.
hivi yule donald trumph anatoka russia/pakistan/india? maana kila siku wananchi wanamsapoti sana kwa kuhubiri ubaguzi na hakuna chombo chochote cha sheria kikichukua jukumu la kumkemea achilia mbali kumshitaki. vipi kuhusu wale wayahudi waki-export wahabeshi na kadhalika?
bila shak hiyo list yako imeandaliwa na wazungu.
US kuna ubaguzi lakini haufikii hata ule wa zimbabwe na tanzania achilia mbali nchi alizotaja mtoa mada. wakati dola la marekani linaongozwa na mtu mweusi kwa zimbabwe mtu mweupe kukodi tu ardhi ni inshu, kwa tanzania naomba tu urudie kusikiliza bunge la katiba uone jinsi wapemba walivyosurubiwa au rejeeni dr salim alipogombea urais nk.
Umesahau USA!
Donald trump alimbagua nani?hivi yule donald trumph anatoka russia/pakistan/india? maana kila siku wananchi wanamsapoti sana kwa kuhubiri ubaguzi na hakuna chombo chochote cha sheria kikichukua jukumu la kumkemea achilia mbali kumshitaki. vipi kuhusu wale wayahudi waki-export wahabeshi na kadhalika?
bila shak hiyo list yako imeandaliwa na wazungu.
Mkuu walijua hilo mapema wakaleta dini. Ukipigwa huku geuza kule...Ni kweli mkuu.
Weusi wanabaguliwa na kila mtu mwengine duniani, si mwarabu, myahudi, mhindi, mchina, mjapani, mrusi, mzungu... - dunia nzima!
Cha kushangaza sisi wakija kwetu Afrika tunakuwa wakarimu ile mbaya.
Hivi huu ukarimu wetu uliokithiri to a fault unatokana na nini?
US kuna ubaguzi lakini haufikii hata ule wa zimbabwe na tanzania achilia mbali nchi alizotaja mtoa mada. wakati dola la marekani linaongozwa na mtu mweusi kwa zimbabwe mtu mweupe kukodi tu ardhi ni inshu, kwa tanzania naomba tu urudie kusikiliza bunge la katiba uone jinsi wapemba walivyosurubiwa au rejeeni dr salim alipogombea urais nk.
3. Russia
![]()
In Russia, a lot of Xenophobia and ‘nationalist’ feelings still prevail. Even today, Russians are racist towards the people whom they feel are not ethnically and truly Russians. Apart from that, they are racist towards Africans, Far Asians, Caucasians, Chinese etc. It culminates with hate and later develops into gross crimes against humanity. The Russian government, along with UN have tried to do their best to stop such incidences of racism but they still continue to take place in not only the remote places but also big cities.
2. Pakistan
![]()
Pakistan is an Islamic majority country and even then, there are many conflicts that take place there between the two sects of Shia and Sunni. There have been crimes between the two sects for ages and nothing is being done about it. Apart from that, the long war with the neighbor India is something that is known to all the world. There have been incidences of racism between Indians and Pakistanis. Apart from that, other races like Africans and Latin Americans are also discriminated against.
1. India
![]()
A land of so much diversity is also the most racist country in the world. Indians are the most racist people in the world and even today, a child born in the Indian family is taught to worship anyone with white skin and look down upon anyone with dark skin. And thus was born the Indian racism against Africans and other dark skinned people. A fair skinned foreigner gets treated like a god and a dark skinned one is treated very badly.Among Indians themselves too there are conflicts between castes and people from different regions like the problem between Marathi Manoos and Biharis. And yet, Indians won’t accept this fact and boast about the culture and diversity and acceptance. It is high time we open our eyes to what the situation truly is and take the saying “Athithi Devo Bhava” (Guest is God) in a positive manner.
Such a list can only show us that no matter what laws and rules exist, no paper can change us. We have to change ourselves and our mentality for a better tomorrow and to ensure that no lives are further harmed for the selfishness of for the egotism of some.
Ni kweli Trump ni mmoja, lakini anawakilisha mawazo ya Wamarekani walio wengi sana.Mkuu Donald Trump ni mtu mmoja tu na pia hiyo list ina mataifa ya kizungu wewe kwani Russia sio aZungu unataka list ya waarabu nini ?
hiyo definition ya ubaguzi maana yake ni power umeitoa wapi? acha kutunga mambo wewe, eti mtu mwenye maisha mazuri habaguliwi, hivi wale wakinabakhresa walioandikwa kwenye bango kule zanzibar wanamaisha magumu, hivi kati ya aliyebeba bango vs jussa nani anamaisha mazuri?!Haujaelwa maana ya Ubaguzi, Ubaguzi maana yake ni Power!
Mtu mweusi hawezi kuwa mbaguzi kwa maana hana Power, hivyo hata hao Wazungu wa Zimbabwe huwezi kusema wanabaguliwa kwa maana wana maisha mazuri klk mtu mweusi Mzimbabwe hata hapa kwetu huwezi kusema Mwarabu au Muhindi anabaguliwa kwa maana wana maisha mazuri klk sisi sasa wanabaguliwa vipi?
Yes, Marekani ndiyo moja kati ya nchi zinazoongoza kwa Ubaguzi Duniani kwa maana ndiyo nchi pekee iliyo na institutionalized racism yaani ubaguzi uliokubaliwa na Mfumo ukiondoa AK hapo zamani, nchi nyingine zote ni mtu mmoja moja tu ndiyo mbaguzi lkn Marekani ni mfumo mzima ni wa kibaguzi umejengwa hivyo!
Mkuu unaweza kushare kidogo. It rings on my mind..it was a horrible experience.Dah niliangalia wakati niliangalia kipindi cha The witness cha Aljazeera, dah walionyesha jinsi ubaguzi hasa kwa watu weusi unavyofanyika kule Russia, aisee ile picha haitokuja nitoka kichwani na moyoni mwangu mpaka Israel atakaponitembelea
hata yule mama marehemu wa bunge la katiba alikuwa anawakilisha mawazo ya watanzania walio wengiNi kweli Trump ni mmoja, lakini anawakilisha mawazo ya Wamarekani walio wengi sana.
Hata ukraine.
Western propaganda geared 2 demonize Russia!!!??hivi yule donald trumph anatoka russia/pakistan/india? maana kila siku wananchi wanamsapoti sana kwa kuhubiri ubaguzi na hakuna chombo chochote cha sheria kikichukua jukumu la kumkemea achilia mbali kumshitaki. vipi kuhusu wale wayahudi waki-export wahabeshi na kadhalika?
bila shak hiyo list yako imeandaliwa na wazungu.
hiyo definition ya ubaguzi maana yake ni power umeitoa wapi? acha kutunga mambo wewe, eti mtu mwenye maisha mazuri habaguliwi, hivi wale wakinabakhresa walioandikwa kwenye bango kule zanzibar wanamaisha magumu, hivi kati ya aliyebeba bango vs jussa nani anamaisha mazuri?!