Ili Messi awe bora, alipaswa kucheza ligi tofauti tofauti. Kwangu Ronaldo ni bora zaidi kwa sababu hiyo...Maradona, Pele, Ronaldino, Rivaldo, de Lima, Zidane, Ibrahimovic etc..wote ni bora kwa sababu wamecheza ligi tofauti na wakaweza.
Huyu Mourinho akifukuzwa Manchester United sijui atakwenda wapi. Mi naona labda Arsenal.
Atarudi kwenu
HahahaKwaiyo unataka kutuambia Ronaldo ni zaidi ya Alfredo na Mario kempes? yaani Mpaka na yeye umweke kwenye greatest players of all time?
Kama humkubali mfalme wa soka kuwahi kutokea hapa ulimwenguni LEO10s, basi kati ya hao Mario Kempes na Alfredo di ambao ni underrated kwa Mfalme na overrated kwa jamaa yako waweza ku-replace nafasi ya huyo jamaa yako ambae hastahiki kuwepo kwenye hiyo list....
Football prophet
wachezaji bora huwa hawauzwi kirahisi. pele kacheza santos toka 1956 hadi 1974. miaka 18? alivyochoka kaenda kucheza New york cosmos marekani kwa miaka miwili. kwa akili yako iniesta si bora kwakuwa yupo barcelona miaka yote?. na ujue kuwa laliga ni bora zaidi.Ili Messi awe bora, alipaswa kucheza ligi tofauti tofauti. Kwangu Ronaldo ni bora zaidi kwa sababu hiyo...Maradona, Pele, Ronaldino, Rivaldo, de Lima, Zidane, Ibrahimovic etc..wote ni bora kwa sababu wamecheza ligi tofauti na wakaweza.
Hahaha
Sababu mbona nimekupa!!, di stefano si mbaya ila naamini alikuwa kwenye ubora alivo kuwa Madrd tuu ila alipo toka kubadlsha mazingiza hakuwa vzuri tena
Kempes sija mkataa lakin hata ukiweka wachezaj wa Amerika kusini pekee Kempes top 5,hagusi
Kwani wewe leo una muweka kwa sababu ipi!!?
Kwetu tuna Zizou mzee wa tactics mtamuota mwaka huu. Zidane anaelekea kuwa tatizo kubwa kwa timu za Ulaya. So far, hataki kusajiri big names. Yeye anasena kikosi chake kitaimarishwa na academy tu
Hahahaaa huwa nacheka sana tunavyowajadili malejendary akina Diego,Messi na pele..alaf mnakuja na kadinho kenu level ya akina iniesta di maria,Aguero ronaldo, vimechi vyenyewe alivyocheza havifiki hata 10,alaf mnamshobokea kwelikweli,...wabongo bana matata saana
Chanzo cha bifu lao n ufalme wa urenoNi mtazamo wake, lakini pia ni kweli, ingawa najua Maurinho na Ronaldo wa Ureno huwa haziivi na sijui sababu ni nini.
Hahahaa naona baada ya kuchukua uefa sasa madrid fans ni kupeana moyo tu eee, haya bhana endeleeni kujipa
Umekosea mkuu washabiki wa Ronaldo ni wa wazi kweli na kama wasingekuepo hata huu mjadala ungeisha mapema.Kwanini umkatae una sababu yeyote top 5 asiwepo? Ndio maana nikakuambia mimi nimeanza kufatilia ball kitambo more than u..huyo ronaldo si mahala pake hapo hata mashabiki wake wanaona aibu kujitokeza nakushangaa wewe tu unahangaika naye... maana Sijamweka mimi hapoo the King bali fifa na wadau wa soka duniani wanaompenda na wachache wasiompenda ndiyo wanamkubali kuwa ndie greatest player of all time na ndiye Mfalme wa soka kuwahi kutokea hspa ulimwenguni,vitu vingi alivovifanya havijawahi kufanywa na player yeyote yule,labda Diego upande wa "similar goals"hapo sawa..kuna magoli mengi yamefanana na maradona,
Umeongea vyema kuwa pele alitoka akaenda kwinginewachezaji bora huwa hawauzwi kirahisi. pele kacheza santos toka 1956 hadi 1974. miaka 18? alivyochoka kaenda kucheza New york cosmos marekani kwa miaka miwili. kwa akili yako iniesta si bora kwakuwa yupo barcelona miaka yote?. na ujue kuwa laliga ni bora zaidi.
ngoja achoke ataenda Marekani au China. si unaona pele alikaa santos toka anamiaka 16 hadi 35 ndiyo kuhama. ndiyo ujue wachezaji wazuri hawahami kirahisi. pia official data pele ana goli 722. hiyo 1000 mnadanganyana kijiweni kama mnavyodanganyana kuwa CR7 ni bora kuliko mfalme Messi.Umeongea vyema kuwa pele alitoka akaenda kwingine
Pia usisahau Pele kachukua kombe la dunia Mara 3,na ana Magoli zaid ya 1000
Yaan huyo kila kitu ka kamilisha.
Messi naye aende kwingine aka ji prove
Hahahangoja achoke ataenda Marekani au China. si unaona pele alikaa santos toka anamiaka 16 hadi 35 ndiyo kuhama. ndiyo ujue wachezaji wazuri hawahami kirahisi. pia official data pele ana goli 722. hiyo 1000 mnadanganyana kijiweni kama mnavyodanganyana kuwa CR7 ni bora kuliko mfalme Messi.
kumbuka timu ina wachezaji 11 hivyo kuchukua kombe siyo kigezo cha kupima ubora wa kiwango binafsi cha mchezaji. king messi ana goli 535 na miaka 29. akifika 37 ambayo pele alistaafu unafikiri tutakuwa tunahesabu goli ngapi?. halafu mchezaji bora mara tano wa dunia, striker wa kutumainiwa timu bora duniani iliyo kwenye ligi bora kumwambia akecheze kungine kuthibitisha ubora wake huoni kunapingana na mantiki?Hahaha
Nnacho jua yuko kwenye Guinness World Book of Records kwa kuwa na most career goals scored in football.
Pili kwanza nashangaa unataka kumfananisha Pele na watu wengine hiyo ni dharau sasa
Messi hawezi kuchukua World cup 3, ok hawezi kuchukua hata Copa America moja, tena asha staafu so haita tokea. Kwa hiyo huku kashndwa hana jipya
Basi tusema atafute hata club nyngne akapate Mafanikio, ndo maana Maradona alienda Napoli timu ya kawaida kabsa enzi hizo na aka beba ubingwa.
Hiyo yote tuna taka ili at least a prove kuwa akicheza na watu tofaut na kina Iniesta ata beba ubingwa, hata wa bara tuu
Yaan ana shinda katika diversity conditions
Na sija sema hawezii kushinda akienda club nyngne, nampa benefit of doubt lakin aka prove ili tuone kama ata waigaa legends walo weza kushinda sehem tofaut tofaut na mashindano tofaut tofauti kama Ronaldo, Maradona na Pele
Hata Ronaldo magoli 500 kafika(so naye tuna subir)kumbuka timu ina wachezaji 11 hivyo kuchukua kombe siyo kigezo cha kupima ubora wa kiwango binafsi cha mchezaji. king messi ana goli 535 na miaka 29. akifika 37 ambayo pele alistaafu unafikiri tutakuwa tunahesabu goli ngapi?. halafu mchezaji bora mara tano wa dunia, striker wa kutumainiwa timu bora duniani iliyo kwenye ligi bora kumwambia akecheze kungine kuthibitisha ubora wake huoni kunapingana na mantiki?