Three generations. ..

Kwani Hugo mtoto si ndio alichezaga picha na Jackie chan.?
 
Brigedia anatumbo la kupakia kreti moja la safari lager [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] alafu full kujisifia kuwa kagera war alikuwa anacrow umbali mrefu
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23]
 
Hawa watakuwa sio binadamu wa kawaida, wanaweza wakawa aliens.
 
Maisha yenyewe ya kufanya mazoezi daily ni kama mateso unakuwa mfungwa wa mazoezi kisa tu uonekane unavutia mbele za watu,kwa afrika tulio wengi hakuna haja ya mazoezi maisha yenyewe tu yanatukondesha tunakuwa na six pack automatically bila mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…