matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
Tatizo lako unadhani hutarudi bongo..
but watachoka tu the day is coming when no one will trust them.Achana nao, niliwahi kupita uhamiaji mpakani wakati wa kugonga muhuri jamaa akanambia? Ni wewe? Nimekuona facebook na sikujua kuwa we ni mwanaJF, wala sikumjibu lolote. Hata watutishe ukweli na mtazamo wetu tutautoa tu!
Hello wana jf, nina rafiki yangu katumiwa ujumbe wa kutisha na nina hisi umetumwa na baadhi ya wana ccm!! ujumbe unasomeka hivi
SENDER: IKULUTZ
MESSAGE:HELLO,WE NOTED THAT YOU ARE SUPPORTING CHADEMA AS IF ITS YOUR PARRENT KNOWING THAT WITHOUT CCM YOU COULDNT GET YOUR DEGREE. WE WILL CALL YOU TO IKULU SOON.
Naomba mchango wenu kuhusu hii message coz haina number and can not be replied.
Sikonge uko hapa Sikonge nilipo mie,samahani sana naomba tufahamiane mwanaharakati mwenzangu,uko wapi,unashugulika na nini n.k,trace me 0717522175