Naona thread inamove tu...ngoja tuanze kuichakachua, soon itafika page za kutoshaNisaidieni wakuu na mimi nijulikane. Mweeeee
Nina balaa gani kiumbe cha Mungu miee manake kila thread ninayoanzisha inaishia kupotezewa tu? Mweeee
Eyooo wapi papaa Masanilo.......
Wapi mamaa AshaDiiii........
Wapi mamaaaa FaizaFoxy.......
Wapi mkuu Invisible..........
Mamaaa Mamdenyi upoo......
Papaa Mwita25 jeeeee.......
Yamekuwa haya mara hii??Ni-PM nikuambie kitu
Afrodenzi, asante kwa hii, kumbe siku hizi jf ni popular kihivi mpaka mtu anajiunga na kupost utumbo ili tuu ajulikane!. Tunapiga hatua!.
Naona thread inamove tu...ngoja tuanze kuichakachua, soon itafika page za kutosha
si unaona sread inasogea tu?
amenikumbusha Kokudo..
kuna thread alianzisha imefanana sana na hii..
Bundajo nimekuja kabisa hapa kwa ajili yako tu... Ulowataja wooote watapita hapa hata Mwita alopigwa Ban thou kwa ID nyingine... Ila Mkuu Invii muache kidogo for the guy (kwa kufikiria kwangu haraka haraka sidhani kama ana mda) Enways sababu ambazo thread zako hazichangiwi ni hizi hapa chini... Observe na zifanyie kazi...
- Wee ni Member mpya or maybe niseme this is too new an ID for you to complain.
- Nature ya topic yako ni ya Promo tu... Tena promo ya mtu ambae anakwaza almost majority ya members hapa jamvini... Hivo basi tokana na kwamba wee ni mpya hapa yawezekana pia wewe ni Mwita25 (kama ndie nimeshindwa jibu pm yako inagoma sababu ya ban)
- Una post 16 hivo ina maana hata wee ni mvivu wa kuchangia acha kulalama (tabia ambayo inaongozwa to date na member mmoja tu - Mwita25)
- Weka topic inayoeleweka, chagua forum inayokufaa.... kama hivi hapa panakufaa kabisa na naamini hapa hutakosa wachangiaji, Huwezi peleka thread kam hio ya Mchaga25 = Mwita25 kwenye complaints... then utegemee kua wachangiaji watakua wengi..
- Sio lazima kila mtu arushe thread, waweza hata jiunga zilizofunguliwa...
BTW Good morning.... hopefully you are well and good.
Pamoja Saaana
AshaDii.
Afrodenzi, asante kwa hii, kumbe siku hizi jf ni popular kihivi mpaka mtu anajiunga na kupost utumbo ili tuu ajulikane!. Tunapiga hatua!.
Ni-PM nikuambie kitu
yawezekena ni Mgeni haswa...
au ni wale wenye ID mia na nusu..
Haina neno lakini yote maisha..
kapatia jukwaa lakini chit chat..
si unaona sread inasogea tu?
halafu huyu memba ana mambo sana...naona tayari kashakwambia um-pm! vp, umeshatekeleza?
Tayari nimechangia
hahahahaha Rejao bana..
tumjazie tu poster haina neno ...
Ngoja niongee na Invisible nimwambie unataka PMNataka PM
Ngoja niongee na Invisible nimwambie unataka PM
.Bundajo nimekuja kabisa hapa kwa ajili yako tu... Ulowataja wooote watapita hapa hata Mwita alopigwa Ban thou kwa ID nyingine... Ila Mkuu Invii muache kidogo for the guy (kwa kufikiria kwangu haraka haraka sidhani kama ana mda) Enways sababu ambazo thread zako hazichangiwi ni hizi hapa chini... Observe na zifanyie kazi...