Yanga ingeachana na huyu mtu! Ni bora hata Abdala Shaibu Ninja kuliko Alli SonsoAlly Sonso wa Lipuli kwenda Yanga
Uwezo wake wakawaida sana! Hata pale Lipuli hana namba ya uhakika!Kwanini mkuu
Katika miaka mitano iliyopita Yanga haijawahi kuwa na beki bora wa kigeni kumshinda Vincent Bossou alikuja hapa akiwa mzew kabisa alipiga kazi ya maana sana mkataba ulipoisha akapata timu yenye maslahi kushinda Yanga akasepaSimba ipo mbioni kumsajili
Mchezaji mzee kutoka ivory coast anaitwa Ange Baresi mwenye miaka 32.
Katika miaka mitano iliyopita Yanga haijawahi kuwa na beki bora wa kigeni kumshinda Vincent Bossou alikuja hapa akiwa mzew kabisa alipiga kazi ya maana sana mkataba ulipoisha akapata timu yenye maslahi kushinda Yanga akasepa
So sometimes lazima tuamini mpira wetu wa kiafrica inaonekana mabuda wanauwezea sana,Simba mchezaji bora Kagere nahisi hata TPL nzima,so kama uwezo bado anao mwache aje tu