Thread ya tetesi za usajili TPL

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,450
2,000
Wakuu hebu tupeane tetesi za usajili na usajili uliokamilika katika ligi kuu Tanzania bara.

Usajili wa wachezaji na Makocha,nani katoka wapi na kaenda wapi,je ni usajili mzuri ?

Yanga na Simba ndo timu ambazo kelele za usajili zimejaa masikioni mwa watu.

Tetesi za wachezaji kutoka timu timu za nje APR,Rayon sport ,Bandari Fc,Gormahia,ZESCO.
 
McDonath

Senior Member
Jan 2, 2018
105
250
Simba ipo mbioni kumsajili
Mchezaji mzee kutoka ivory coast anaitwa Ange Baresi mwenye miaka 32.
Katika miaka mitano iliyopita Yanga haijawahi kuwa na beki bora wa kigeni kumshinda Vincent Bossou alikuja hapa akiwa mzew kabisa alipiga kazi ya maana sana mkataba ulipoisha akapata timu yenye maslahi kushinda Yanga akasepa
So sometimes lazima tuamini mpira wetu wa kiafrica inaonekana mabuda wanauwezea sana,Simba mchezaji bora Kagere nahisi hata TPL nzima,so kama uwezo bado anao mwache aje tu
 
Magna Carta

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
4,080

Ni sawa mtu na Mzee Chama, Mzee Tambwe, Mzee Nyoni, Mzee Kamusoko, Mzee Kangwa, Mzee Nditi
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,450
2,000
Simba na CS Sfaxien wanafukuzia saini ya mshambuliaji wa Nkana Walter Bwalya
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,450
2,000
Azam wapo bado wanapambana kumchukua kocha wa KMC ,na KMC wapo tayari kumwachia kutokana na malipo yake kuwa juu,KMC wanapambana kumchukua kocha wa Lipuli FC Suleiman Matola.

Vile vile Yanga wanapambana wamchukue kocha wa Kagera Sugar kama kocha msaidizi
 
DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
10,901
2,000
yanga wapo mbioni kumsajiri zana coulibary kwa ajiri ya mashindano ya kimataifa maana imeonekana boxer hana uzoefu wa mashindano hayo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom