ushauri kwa mtoa uzi.. umeona mada inakuboa.. au huez kutoa jibu au ushauri.. kaa kimia angalia uzi mwingne ambao utakuvutia kutoa ushauri toa.. yann ujisumbue kutoa ushauri kwa kitu usichokipenda? si ukae kimia? kwan nan atakuuliza? au ni lazma uchangie? usipochangia hupati papuch..