Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Wakuu huu uzi ni maalum kwa wale wapenda michezo! wakati mwingine mtu anaweza kua mbali na TV au DSTV lakini anatamani achek game au mchezo wowote kwenye simu au hata kwenye Laptop.
Nimeanzisha uzi huu ili mtu akipata link ya kuangalia online atupie humu ili kusaidia wengine kuangalia mchezo husika online!

Nitakua natupia kwa jinsi nitakavyopata

Leo tunaanza na tuzo za mchezaji bora wa dunia Cheki link chini

Ballon dor awards

TV Show : Ballon D'Or - HesGoal.COM Sports News
Safi
 
Back
Top Bottom