Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Tafadhali naomba unielekeze jinsi ya kuitumia hii
Uzuri wa hii link wakuu unachagua mechi yoyote duniani unayotaka kuangalia tofauti na mobdro ambayo mpaka ujue mechi iko chaneli gani kisha uitafute hy chaneli na pia zinakuwa mechi chache... Pili haina mizunguko mingi ukiifungua inafikia kwenye mechi inayochezwa muda huo...

Mapungufu hii app inaweza isikubali kwa baadhi ya simu siyo simu zote...

Ikishindikana hii wakuu jaribun ile ya kiarabu ambayo pia ipo link yake kupitia uzii huu... mwenye swali lolote kuhusu hizi app uliza....
 
LIVE MATCH ZA LEO. 14/11/2017. JUMANNE.

ANGALIA==>

NIGERIA v ARGENTINA Saa 19:30
SPAIN v RUSSIA Saa 21:45
FRANCE v GERMANY Saa 22:45
BRAZIL v ENGLAND Saa 11:00
USA v PORTUGAL Saa 11:45.

BOFYA LINK==> أهم مباريات اليوم | جوال
KISHA CHAGUA MECHI UNAYOTAKA KUANGALIA NA UIBONYEZE..

TUMIA CHROME AU PUFFIN BROWSER..
 
WAKUU SITE ILIYOKUWA IKITUMIKA KUONYESHA MECHI KWA KIARABU IMEANZA KUSUMBUA UKITUMIA CHROME.

BUT KUNA OPTION ILIYOPATIKANA NASHAURI UINSTALL PUFFIN BROWSER KWENYE SIMU YAKO.
KISHA ITAKUWA INAWEKA LINK MOJA YA MECHI HUSIKA AMBAYO INAFUNGUKA KWA PUFFIN BROWSER TU...

SO INSTALL HIYO PUFFIN BROWSER THEN LINK ITAKAYOKUWA INAWEKWA UNAIFUNGUA KWA BROWSER HIYO NA MECHI ITAKUWA INAONEKANA.

HUKU TUKIENDELEA KUSUBIRI HII YA KIARABU ITENGEMAE...
 
WAKUU PIA NIMEJARIBU KUCREATE GROUP LA WHATSAPP KWA AJILI YA LIVE MATCHES...

NIMEONA HII ITAKUWA NJIA RAHISI KUPATA LINK ZA MECHI HUSIKA NA KUPEANA MAELEKEZO KWA URAHISI WA NAMNA YA KUANGALIA HIZI MECHI...

LIVE MATCHES...ONLINE!!

BOFYA HAPO JUU UJOIN KWA WALE WAPENDAO KUCHEKI GAME KUPITIA SIMU/TABLET AU LAPTOP ..
 
Nenda google Andika mamaHD then follow hiyo link utaweza kuangalia online
 
Back
Top Bottom