Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Poleni kwa majukumu ndugu,naulizia app ya kuangalia mpira(football) live ktk cmu za android au kwny pc
 
Cheki play store kuna app inaitwa mobile tv (sijawahi tumia)...as a hint ukitaka app yoyote kabla ya kudownload soma reviews za walioitumia na pia cheki ratings. ..ukiona app ina nyota mbili kuja chini achana nayo probably itakuwa mbovu...kwenye pc search tu google kuna websites za kustream nyingi tu..pia uwe unajaribu tu nyingi nyingi kwa maana link moja ikigoma jaribu nyingine usikate tamaa...soccer tamu bana...enjoy
 
Habari zenu wana JF, mimi swali langu ningependa kufahamishwa au kuelekezwa namna ya kuangalia/kustream live channels kwenye mtandao ziwe za DStv, Azam tv n.k anayejua anifahamishe hata kama ni za malipo.
 
Back
Top Bottom