Thousands sign petition to oppose Parliament’s decision against the CAG

An online petition launched to pressure Tanzania’s Parliament to rescind its recent resolution against the Controller and Auditor General (CAG), Prof Mussa Assad, has garnered a total of 5,612 signatures and counting so far.

The petition aims at collecting 7,500 signatures.

It resulted from the decision by the ruling-party-dominated-Parliament to endorse a motion by the Parliamentary Privileges, Ethics and Powers Committee to stop working with Prof Assad after it (the Committee) convicted him of “disrespecting” Parliament.

The news has since been received with criticisms from different quarters on social media expressing solidarity with the CAG by launching a #IStandWithCAG hashtag, the top trending hashtag so far in the country.

The online petition was launched on Wednesday, April 3, by a local advocacy group, Change Tanzania, against Parliament’s move,whose director Maria Sarungi-Tsehai says (in Kiswahili) the issue of Parliament to work with the CAG is not an option but rather a constitutional requirement.

The petition reads: “A call for Parliament to rescind its decision not to work with the CAG Prof Assad in order to ensure good governance and accountability, fighting corruption as well as protecting the constitution.”

The petition has attracted support from a wide range of people, including popular politicians like opposition ACT-Wazalendo’s party leader Zitto Kabwe, senior journalists and Tanzanians who work in international organizations.

Those who signed the petition say Parliament must work for the people.

Charles Kimaro wrote: “Parliament should work for the people and not for any political party or some orders from higher ranking offices”.
Zikifika 7500 nini hatima yake. Huu ni ujuha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Link ni hiyo hapo juu Mkuu lakini hawa wahuni AKA wasioujulikana wameshacheza nayo baada ya kuona speed kubwa ya Watanzania kusaini.
inaleta wasiojulikana
Screenshot_2019-04-06_092640.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
An online petition launched to pressure Tanzania’s Parliament to rescind its recent resolution against the Controller and Auditor General (CAG), Prof Mussa Assad, has garnered a total of 5,612 signatures and counting so far.

The petition aims at collecting 7,500 signatures.

It resulted from the decision by the ruling-party-dominated-Parliament to endorse a motion by the Parliamentary Privileges, Ethics and Powers Committee to stop working with Prof Assad after it (the Committee) convicted him of “disrespecting” Parliament.

The news has since been received with criticisms from different quarters on social media expressing solidarity with the CAG by launching a #IStandWithCAG hashtag, the top trending hashtag so far in the country.

The online petition was launched on Wednesday, April 3, by a local advocacy group, Change Tanzania, against Parliament’s move,whose director Maria Sarungi-Tsehai says (in Kiswahili) the issue of Parliament to work with the CAG is not an option but rather a constitutional requirement.

The petition reads: “A call for Parliament to rescind its decision not to work with the CAG Prof Assad in order to ensure good governance and accountability, fighting corruption as well as protecting the constitution.”

The petition has attracted support from a wide range of people, including popular politicians like opposition ACT-Wazalendo’s party leader Zitto Kabwe, senior journalists and Tanzanians who work in international organizations.

Those who signed the petition say Parliament must work for the people.

Charles Kimaro wrote: “Parliament should work for the people and not for any political party or some orders from higher ranking offices”.
I think this is a great idea..

Hata zikifika 100000 hawa watu hawana tone la aibu wacha tu watende watakayo

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haifunguki inasema oops

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wito kupinga Bunge kutofanya kazi na Profesa Assad watua kwa Spika
Wakati kampeni ya mtandaoni kupinga azimio la Bunge la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ikifikisha zaidi ya watu 15,000, waraka wa kampeni hiyo umefikishwa katika ofisi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai

pic+wito.jpg

BY George Njogopa, Mwananchi gnjogopa@mwananchi.co,tz

IN SUMMARY

    • Wito wenye lengo la kumuunga mkono Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Assad umekuwa ukiendeshwa kwa njia ya mtandao na ulianzishwa siku chache baada ya Bunge kupitisha azimio la kutofanya kazi na CAG

Advertisement
Dar es salaam. Wakati kampeni ya mtandaoni kupinga azimio la Bunge la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ikifikisha zaidi ya watu 15,000, waraka wa kampeni hiyo umefikishwa katika ofisi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai

Waandaaji wa kampeni hiyo ambao ni Taasisi ya Change Tanzania wamesema leo Jumatatu Aprili 8, 2019 kuwa maoni hayo yaliyokusanywa yamefikishwa ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam na mengine yakitarajiwa kutumwa jijini Dodoma kuanzia kesho Jumanne.

Soma zaidi: Mnyika aibua sakata la CAG bungeni, Chenge amtuliza
Mmoja ya waratibu wa kampeni hiyo, Msabaha Hamza Msabaha amesema maoni hayo yanafikishwa leo mchana.
“Tunapeleka katika ofisi ndogo za Bunge hapa Dar es Salaam na mengine tutayatuma kwa ofisi za Bunge Dodoma,” amesema wakati akiwa njiani kwenda ofisi za Bunge.

Kampeni hiyo iliyoanzishwa Aprili 3, 2019 siku moja baada ya Bunge kuazimia kutofanya kazi na CAG Profesa Assad, imelenga kukusanya sahihi za wananchi kutoka sehemu mbalimbali kupinga hatua hiyo.
Wengi waliochangia maoni yao kwenye mtandao wamekuwa wakielezea namna walivyo tayari kusimama bega kwa bega na Profesa Assad. Wengi wanataka Bunge liendeshe mambo yake kwa kuzingatia matakwa ya kikatiba na si vinginevyo.
“Bunge liongozwe kwa kutumia sheria na ripoti ya CAG ipokelewe na kujadiliwa,” ameandika mchangiaji aliyejitambulisha kwa jina la Seleman Mfaume huku mshiriki mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Elinasi Monga akiandika kuwa “maamuzi ya Bunge hayana mashiko yoyote”.

Soma zaidi: Profesa Assad afunguka
Tangu Bunge lipitishe azimio lake kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusiana na sakata hilo huku CAG mwenyewe akionya uwezekano wa kuzaliwa mgogoro wa kikatiba.

Wiki iliyopita Bunge la Tanzania lilipitisha azimio la kutofanya kazi na CAG baada ya kumtia hatiani kwa tuhuma za kudharau chombo hicho.

Wabunge wamefikia uamuzi huo baada ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutaka waridhie mapendekezo yao dhidi ya CAG.

Kamati hiyo ilimhoji CAG Januari 21 baada ya kufanya mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya redio ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York mwezi Desemba 2018 ambapo alisema kuwa Bunge la Tanzania halina meno na hivyo limeshindwa kuiwajibisha ipasavyo Serikali.

Akizungumza na TBC, CAG Profesa Assad alisema suala hilo linaweza kuwa kubwa kuliko lilivyo sasa na kutaka busara itumike zaidi ili kupata ufumbuzi.
"Tunaweza kuwa na mgogoro wa kikatiba, kwamba ripoti (za ukaguzi wa mwaka 2017-18) zimeshawasilishwa kwa Rais na mimi siwakilishi ripoti Bungeni, basi Rais atazipeleka ndani ya siku sita kama Bunge likikataa kuzipokea hilo ni tatizo kubwa zaidi. Ni dharau (kwa katiba) wasiwasi wangu ni huo. Zikiwasilishwa bungeni zinakuwa mali ya umma na mimi napata nafasi ya kuzungumza, na hilo pia linaweza kuwa tatizo. Tafsiri ya kuwa (Bunge) hatuwezi kufanya kazi na CAG ni tafsiri pana sana na inatakiwa tuijue vizuri," alisema.
Soma zaidi: RIPOTI YA CAG: Macho, masikio
 
Sasa wakipeleka waraka si inamaaana na sample ya majina itapelekwa? Hatuoni kama watu wasiojuliknana watafanya yao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
There comes a time people need to stand up and say ENOUGH IS ENOUGH without any FEAR of the repercussion.

Back
Top Bottom