thought experiment - Tundu Lisu &Co. waingie CCM!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,296
Reaction score
14,963
nilikuwa na wazo, kwa nini au kuna ubaya gani kama Tundu Lisu na wenzake wakijiunga na ccm? je, hamuoni kwamba labda wanaweza kuleta mapinduzi chanya zaidi na kufikia malengo yao wakiwa ndani ya system klk nje yake? kwa jinsi mfumo tanzagiza ulivyo ni ngumu kuamini kwamba unaweza kulazimisha mabadilko ukiwa nje kwa maana unakuwa adui.

ikumbukwe kwamba hakuna mwenye ccm hata hao wa leo ambao wanajiona ni ya kwao kesho wanaweza kuwa upinzani, hivyo kila aliye na power ccm leo hii ni swala la muda tu na siku moja ataenda au atalazimishwa kwenda.

tujifunze ktk kwa Martini Luther mwanzilishi wa Uprotestanti, alitaka mabariko ndani ya Kanisa Katoliki lkn alitambua kwamba akijitoa hawezi kupambana na Kanisa Katoliki hivyo akaamua kupambana akiwa ndani ya Kanisa Katoliki na akaeleweka na wengi na ndipo mabadiriko yakawezekana na Uprotestanti kuzaliwa …
 
No reforms no election
Ccm waige hapa. Kukimbilia mahakamani hakutasaidia kitu
 
nilikuwa na wazo, kwa nini au kuna ubaya gani kama Tundu Lisu na wenzake wakijiunga na ccm? je, hamuoni kwamba labda wanaweza kuleta mapinduzi chanya zaidi na kufikia malengo yao wakiwa ndani ya system klk nje yake? kwa jinsi mfumo tanzagiza ulivyo ni ngumu kuamini kwamba unaweza kulazimisha mabadilko ukiwa nje kwa maana unakuwa adui.

tujifunze ktk kwa Martini Luther mwanzilishi wa Uprotestanti, alitaka mabariko ndani ya Kanisa Katoliki lkn alitambua kwamba akijitoa hawezi kupambana na Kanisa Katoliki hivyo akaamua kupambana akiwa ndani ya Kanisa Katoliki na akaeleweka na wengi na ndipo mabadiriko yakawezekana na Uprotestanti kuzaliwa …
Hata wakiingia hawatodumu. System haipend watu wenye mawazo mapya na wenye kutaka mabadiliko.
System ni rigid, so watu kama akina tundulissu watsonekana kama stubborn elements, watakuwa banned
 
Wapinzani wote wajiunge CCM ili vita iwe ya ndani ya chama, hiyo itasaidia kuleta mpasuko ndani ya CCM, tofauti na hapo CCM itaendelea kuwepo Hadi kiama Kwa katiba hii tuliyo nayo.
 
Back
Top Bottom