“Those who forget the past are condemned to repeat it” | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

“Those who forget the past are condemned to repeat it”

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by m_kishuri, Jun 3, 2010.

 1. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  “Those who forget the past are condemned to repeat it”
  Waungwana, katika pitapita zangu kwenye viwanja vya wasomi huku Ughaibuni, katika juhidi za kuongeza maarifa, nimekutana na makala ya msomi moja aitwaye Robert H. Jackson titled “Why Africa Weak States Persist: The Empirical and the Juridical in Statehood.” Humo ndani anamnukuu baba wa Taifa marehemu J.K. Nyerere, alipokuwa anatathmini Mapungufu ya Azimio la Arusha katika kitabu chake maarufu, The Arusha Declaration Ten Years After “Our Mistakes and Failures,” 1977. Marehemu aliandika, na ninamnukuu:
  "The problem of inefficient staff has rarely been as candidly exposed as in a 1977 report by Julius Nyerere on Socialist progress in Tanzania. He noted that ministries were overspending in disregard of severe budgetary restraints; the Rural Development Bank was issuing loans that were not being repaid; State enterprises were operating far below capacity- sometimes at less than 50 percent; “management” was preoccupied with privilege and displayed little enterprise; and “workers” were slack, incompetent, and undisciplined."
  Kinacho nishangaza na kunitia simanzi ni kwamba, yaleyale ambayo muasisi wetu aliongelea, ndio hayohayo yanayofanyika sasa hivi. Sasa, swali langu ni kwamba, je, hii nchi yetu imerogwa? Kwa sababu, kama jibu ni no, then kwa nini bado tunarudia makosa yaleyale ? Je, tutajikwamua vipi na kurudia makosa yaleyale ? Vinginevyo itakuwa ni yaleyale, “from the frying Pan into the Fire.”:confused2:

   
Loading...