Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Tunahitaji wanachama wa chadema wenye moyo wa aina hiyo. Nyimbo ameamua kufanya hivyo kwa sababu anaamini kwamba maandalizi ya kuiangusha ccm lazima yaanze sasa na siyo mwaka 2015.
Mwambie aende huko znz akafungue matawi mengine
Lengo ni maendeleo sio siasa.
Maendeleo hayaji bila siasa safi, watu, ardhi na uongozi bora. Nyimbo awe chachu kwa wengine.
Ku-politicize kila kitu ndo maana CCM hawataondoka madarakani milele..ndo maana hata waizi wa EPA na wengineo wamehukumiwa ksiasa! zero output.Maendeleo hayaji bila siasa safi, watu, ardhi na uongozi bora. Nyimbo awe chachu kwa wengine.
Ndugu yangu nadhani wewe humfahamu vizuri huyu Thomas Nyimbo....Huyu mzee ni mfanya biashara mkubwa hususan Nyanda za juu kusini mikoa ya Iringa hasa Njombe na mkoa wa mbeya anaendesha biashara zake safi...na hata enzi zile za giza ambapo wafanya biashara walikuwa hawawezi kujiunga upinzani yeye alijiunga....Kuhusu kuanzisha vikundi mbalimbali vya kusaidia vijana, wazee, kinamama nk alisha-initiate na kuvi-fund.... tembelea ilembula kwenye ngome yake.Ku-politicize kila kitu ndo maana CCM hawataondoka madarakani milele..ndo maana hata waizi wa EPA na wengineo wamehukumiwa ksiasa! zero output.
Huyo Nyimbo kama ana-organisational skills kwanini asiorgnaize vikundi vya maendeleo? Kule Njombe sioni kwanini watu wawe maskini kuna ardhi yenye rutuba nzuri tu na hali ya hewa maridhawa kwa kilimo na viwanda vidogo ku-process hayo mazao ya kilimo, halafu nyie majinias mnaona kufungua ofisi za matawi ndio dili..mtakufa maskini na misiasa yenu uchwara.
KWANI MKUU MBONA KILA ISSUE ZNZ KWANI KUNA NINI HASA CHA KUPIGIWA MFANO? MAANA KAMA NI ULOFA NI ULEULE TU TENA UMEKITHIRI SANA!!!Mwambie aende huko znz akafungue matawi mengine
Mwambie aende huko znz akafungue matawi mengine
Ndugu yangu nadhani wewe humfahamu vizuri huyu Thomas Nyimbo....Huyu mzee ni mfanya biashara mkubwa hususan Nyanda za juu kusini mikoa ya Iringa hasa Njombe na mkoa wa mbeya anaendesha biashara zake safi...na hata enzi zile za giza ambapo wafanya biashara walikuwa hawawezi kujiunga upinzani yeye alijiunga....Kuhusu kuanzisha vikundi mbalimbali vya kusaidia vijana, wazee, kinamama nk alisha-initiate na kuvi-fund.... tembelea ilembula kwenye ngome yake.
Leo asubuhi nimeongea na mmoja wa wasaidizi wa Mh. Nyimbo aliyekuwa mgombea ubunge wa Njombe magharibi kwa tiketi ya CDM na kuhujumiwa na CCM kwa maelekezo ya Anna Makinda na Pindi Chana (Viti maalum Njombe CCM) kuwa pamoja na dhamira ya kupinga matokeo mahakamani. Mh Nyimbo ameamua kufanya yafutayo.
1. kugharimia ufunguzi wa matawi ya CDM vijiji vyote 104 vya jimbo lake ndani ya wiki mbili toka sasa. Gharama kwa kiasi kikubwa atchangia yeye kwa kuwashirikisha wananchi wake.
2. Ameweka makadirio ya kuandikisha wanachama wasiopungua 5000 kwa kipindi hicho cha wiki 2 na kuunda safu imara ya uongozi toka msingi mpaka jimbo/Wilaya
NB.Mheshimiwa anastahili pongezi kwa sababu kwa miak yake ambayo ni zaid ya 60 ni wazi anatuandalia sisi vijana mazingira mazuri ya kupata fursa za kushiriki siasa sasa na baadae.
WITO: Wadau hasa chadema Makao makuu muwezesheni kwa vfaa kama vile kadi, katiba na bendera kwa watu wenye moyo kama ni wachache katika jamii. Aidha Cahdema mkoa wa Iringa kupitia kwa mbinge wa viti maalum na Mjumbe wa kamati kuu Bi Chiku Abwao mpeni tafum mzee huyu ili mwaka 2015 tuisambaratishe CCM Mkoa wa Iringa na Njombe