Thomas Nyimbo aahidi kuijenga CHADEMA; apongezwa!

Leo asubuhi nimeongea na mmoja wa wasaidizi wa Mh. Nyimbo aliyekuwa mgombea ubunge wa Njombe magharibi kwa tiketi ya CDM na kuhujumiwa na CCM kwa maelekezo ya Anna Makinda na Pindi Chana (Viti maalum Njombe CCM) kuwa pamoja na dhamira ya kupinga matokeo mahakamani. Mh Nyimbo ameamua kufanya yafutayo.
1. kugharimia ufunguzi wa matawi ya CDM vijiji vyote 104 vya jimbo lake ndani ya wiki mbili toka sasa. Gharama kwa kiasi kikubwa atchangia yeye kwa kuwashirikisha wananchi wake.
2. Ameweka makadirio ya kuandikisha wanachama wasiopungua 5000 kwa kipindi hicho cha wiki 2 na kuunda safu imara ya uongozi toka msingi mpaka jimbo/Wilaya
NB.Mheshimiwa anastahili pongezi kwa sababu kwa miak yake ambayo ni zaid ya 60 ni wazi anatuandalia sisi vijana mazingira mazuri ya kupata fursa za kushiriki siasa sasa na baadae.
WITO: Wadau hasa chadema Makao makuu muwezesheni kwa vfaa kama vile kadi, katiba na bendera kwa watu wenye moyo kama ni wachache katika jamii. Aidha Cahdema mkoa wa Iringa kupitia kwa mbinge wa viti maalum na Mjumbe wa kamati kuu Bi Chiku Abwao mpeni tafum mzee huyu ili mwaka 2015 tuisambaratishe CCM Mkoa wa Iringa na Njombe
Yup, this is what am talking about! Tunataka visionary leaders kama huyu mheshimiwa. Mambo ya porojo sasa yamepitwa na wakati. Now it's the time to act. Kama kuna mtu mwenye contacts za huyu jamaa, basi naomba tuwasiliane ili nimpatie mchango wangu wa kifedha na mawazo.
 
Ku-politicize kila kitu ndo maana CCM hawataondoka madarakani milele..ndo maana hata waizi wa EPA na wengineo wamehukumiwa ksiasa! zero output.

Huyo Nyimbo kama ana-organisational skills kwanini asiorgnaize vikundi vya maendeleo? Kule Njombe sioni kwanini watu wawe maskini kuna ardhi yenye rutuba nzuri tu na hali ya hewa maridhawa kwa kilimo na viwanda vidogo ku-process hayo mazao ya kilimo, halafu nyie majinias mnaona kufungua ofisi za matawi ndio dili..mtakufa maskini na misiasa yenu uchwara.

Labda amegundua kuwa mahitaji ya watu wa Njombe Magharibu ni matawi ya Chadema.

Ni vizuri kuwa ameweka time schedule ya wiki mbili, maana tutaweza kufuatilia utekelezaji wakati topic bado iko hot.

Hii ni call kwa Chadema headquartes. Kama jimbo zima (vijiji 104) chama hakina matawi, bado safari ni ndefu!
 
Nimefurahishwa na jitihada za Mh.Nyimbo. Binafsi nazidi kuumpa moyo kwa hiki alichokianzisha na kwamba ajue hayupo mwenyewe!!!

Pia natoa rai kwa vijana ambao wengi wetu ndio tunaumia na "KIBURI NA JEURI YA CCM" kujitokeza kwa wingi kuunga mkono hizi harakati. "HAIKUWA KAZI RAHISI KWA CHADEMA KUANZISHA NA KUSIMAMA IMARA" Watu walijituma na kujitoa kabisa ili kufanikisha tunayoyaona leo. Hakika CHADEMA kina mtizamo thabiti na sera pevu za kuifikisha Tanzania pale tunapotaka tufike.

PAMOJA TUNAWEZA, SOLIDARITY FOREVER!!!!!!
 
hii imekaa vizurii kabsaa, waliokuwa wagombea Ubunge na Udiwani kwa chadema ni vyema kama mkiiga mbinu hii ya huyu mpiganaji
 
The Following 27 Users Say Thank You to Gerrard For This Useful Post:

3D. (Yesterday), Anyisile Obheli (1st December 2010), August (1st December 2010), BongoTz (Yesterday), coby (Yesterday), Dingswayo (1st December 2010), Donyongijape (Today), Dopas (Yesterday), EXECUTIVE (1st December 2010), Fredwash (Yesterday), genekai (1st December 2010), hmethod (Yesterday), Josh Michael (Yesterday), KIDUNDULIMA (Yesterday), Lekanjobe Kubinika (Yesterday), Lukolo (Yesterday), mchonga (1st December 2010), Mfwatiliaji (Yesterday), Mokereti (Yesterday), N-handsome (Yesterday), Ntemi Kazwile (Yesterday), Paddy (Today), papason (Today), RealMan (1st December 2010), Sikonge (1st December 2010), Sumbalawinyo (Yesterday), utiyansanga (Yesterday)

INVS UPO??
VIJANA WAMEAMKA WANATAKA KICHWA CHA JK NAONA
 
Big up Mr Nyimbo.

Hakika ulichofanya kiigwe na wengine ili chama cha mabadiliko ya kweli kizidi kukua na kupenya kila mtaa na kijiji nchi nzima.

2015 si mbali kivile, mara tu itafika. Maandalizi mapema ni muhimu.

Hongera 'jembe' Dr Slaa kwa kuwahi na kusawazisha mambo huko Mwanza kwani wajanja walitaka kuleta mambo yao kwenye kura za maoni ya umeya wa jiji. BRAVO! Endelea kuwa karibu.
 
It is evidence of wisdom of a veteran politician. BIG UP NYIMHO Mwamdishi tutaarifu contact xa kupiga tough huyu mzee

Wasiliana na Mh. Nyimbo kwa +255 784262 577/ +255 754 502 512 au Msaidizi wake 0752 680 039/0786 431 133
 
Labda amegundua kuwa mahitaji ya watu wa Njombe Magharibu ni matawi ya Chadema.

Ni vizuri kuwa ameweka time schedule ya wiki mbili, maana tutaweza kufuatilia utekelezaji wakati topic bado iko hot.

Hii ni call kwa Chadema headquartes. Kama jimbo zima (vijiji 104) chama hakina matawi, bado safari ni ndefu!

Ni hakika kabisa matawi hayazidi 5 nayo yanalegalega kwa sababu ya poor support. Kibaya zaidi watu wa kule kwetu sio wepesi sana kupokea mabadiliko.
 
Yup, this is what am talking about! Tunataka visionary leaders kama huyu mheshimiwa. Mambo ya porojo sasa yamepitwa na wakati. Now it's the time to act. Kama kuna mtu mwenye contacts za huyu jamaa, basi naomba tuwasiliane ili nimpatie mchango wangu wa kifedha na mawazo.

Contacts nimeziweka katika post moja hapo juu
 
Nampongeza sana Bwana Nyimbo kwa ahadi njema alizotoa.

Ni wazo jema kumpa muda ili hatimaye tuweze kupima matokeo ya ahadi zake. Wakati mwingine, kusema na kutenda ni tofauti.
 
Nampongeza sana Bwana Nyimbo kwa ahadi njema alizotoa.

Ni wazo jema kumpa muda ili hatimaye tuweze kupima matokeo ya ahadi zake. Wakati mwingine, kusema na kutenda ni tofauti.

Kumbuka kufungua kunahitaji vifaa kama vile kadi, bendera na katiba. Yeye ameahidi kutoa mchango wake financially na kuhamasisha wananchi. Je CDM makao makuu watamtumia vifaa kwa wakati? Tushirikiane wadau wote humu kuwaambia wale jamaa pale makao makuu kuwa vifaa visambazwe kwa walengwa mapema. Nasema hivo kwa sababu I have experience on this.
 
Kweli simfahamu kama ulivyosema, lakini hiyo haiondoi validity ya hoja yangu. Hoja inabaki palepale kwamba maendeleo yatangulie siasa, na sio kinyume chake. Na huo ndio muono wangu.

muono wako kitu gani weye!!!
unafikiri kila muono unakuwa considered? hata chidhi atasema nina maono au hivyo ninavyoona ila wenye akili watajua pumba na mchele.
ili tuendele tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. tuna vitu viwili tayari kwa Tanzania i.e. watu na Ardhi.shida yetu ni siasa safi na uongozi bora....thanks God ndo tunajenga siasa safi kama NYIMBO anavyofanya halafu tutapata viongozi bora wa type ya Dr Slaa. baada ya hapo Kigoma itakuwa DUBAI bila kuitangaza kama JK wenu,tutatengeneza mvua bila kutangaza kama EL, tutatokomeza ufisadi bila kuanzisha TAKUKUKUKURU kama JK alivyoona TAKURU haifanyi kazi akaanzisha TAKUKURU bado haifanyi kazi.....teh teh tihiii teh!
mafisadi mnawapiga picha kisutu ili mkaombee msaada ulaya na Marekani ...halafu mnarudi kuwaomba radhi kwa kuwatumia. so sad mwee!!
viva NYIMBO,viva CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
[/I][/B]
Kumbuka kufungua kunahitaji vifaa kama vile kadi, bendera na katiba. Yeye ameahidi kutoa mchango wake financially na kuhamasisha wananchi. Je CDM makao makuu watamtumia vifaa kwa wakati? Tushirikiane wadau wote humu kuwaambia wale jamaa pale makao makuu kuwa vifaa visambazwe kwa walengwa mapema. Nasema hivo kwa sababu I have experience on this.

Mkuu; Nyimbo ni Mwanachadema sasa na bila ya shaka ni msomi. Kama amejitolea extent hii lazima atakuwa na mpango mkakati wa kufanikisha hili.

Sitaki kuamini kuwa anaweza kufanya mengine lakini la kupata kadi, bendera nk ikawa ngumu. I am sure anajua fika nini afanye ili kufanikisha hayo.

Otherwise tunamuunga mkono sana.
 
Point taken
 
Namuomba Shitambala na SuGu nao wafanye zoezi hili kwa Mbeya nzima...by 2015 Tanzania nzima ikomboke..!
 
Hongera mh Nyimbo, watanzania bado tuko katika hali ya kushangashangaa kama vile tunajua tunataka nini kwa maana tunaona matatizo tuliyonayo na tunalalamikia barabarani ila kwenye kuamua kuchukua hatua bado tunakigugumizi matokeo yake hawa jamaa wamerudi madarakani na sasa paukwa pakawa zimeanza tena na zitakuja nyingi na tutaendelea kulalamikia mitaani, sasa kwa move ya huyu mzee ni kama hamasisho kwetu, pamoja na yeye kusema atafanya hayo, tulio karibu na maeneo ya tukio tuamke na kuungana nae kuhakikisha haya yanakamilika katika muda uliopangwa na ndio maana ya peoples power, hapa, pale, kule tukianza namna hii, ghafla tutajikuta maeneo mengi tunahamasika na kwa mwamko wa wengi kivitendo kitawezesha madai ya katiba na uchaguzi huru na haki kuwa kivitendo zaidi ya sasa yalivyo kinadharia. Big up CDM and all tanzanianz who love Tanzania.
 
muono wako kitu gani weye!!!
unafikiri kila muono unakuwa considered? hata chidhi atasema nina maono au hivyo ninavyoona ila wenye akili watajua pumba na mchele.
ili tuendele tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. tuna vitu viwili tayari kwa Tanzania i.e. watu na Ardhi.shida yetu ni siasa safi na uongozi bora....thanks God ndo tunajenga siasa safi kama NYIMBO anavyofanya halafu tutapata viongozi bora wa type ya Dr Slaa. baada ya hapo Kigoma itakuwa DUBAI bila kuitangaza kama JK wenu,tutatengeneza mvua bila kutangaza kama EL, tutatokomeza ufisadi bila kuanzisha TAKUKUKUKURU kama JK alivyoona TAKURU haifanyi kazi akaanzisha TAKUKURU bado haifanyi kazi.....teh teh tihiii teh!
mafisadi mnawapiga picha kisutu ili mkaombee msaada ulaya na Marekani ...halafu mnarudi kuwaomba radhi kwa kuwatumia. so sad mwee!!
viva NYIMBO,viva CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ATI na wewe ni great thinker? Shame!

Tumia akili..usiniulize inapatikana wapi..humo kwene bichwa lako.ebo. Usikariri ati ili tuendelee tunahitaji tunahitaji sijui nini..Nyerere alizificha akili zenu kwene chupa ndio maana akili zenu zinafikiri kisiasasiasa tu..

Kalagabaho.
 
Hivi Nyerere alikua sisiem ama CDM?:help:
 
Back
Top Bottom