ThisDay, Kulikoni go weekly

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,816
678
Kumbe kweli lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Nini madhara ya tamko hili kwa wafanyakazi wa kampuni hizo?

Watanzania wengi sio wasomaji wazuri, je wakienda kiundani zaidi wana uhakika watapata wasomaji wa kutosha? Wengi tunapenda kusoma habari fupi fupi na vichwa vya habari tu. Wanaosoma habari za uchunguzi ni wachache mno.

Mimi ni mmoja wa wasomaji wa Thisday na nasikitika kwamba sasa sitaweza kuwapata tena mpaka mara moja kwa wiki.

By ThisDay Reporter
30th November 2009

AFTER having positioned themselves as the country's leading investigative newspapers for the past three years, Media Solutions Limited (MSL) publications THISDAY and KULIKONI newspapers, under the flagship of “Voice of Transparency”, will now be published weekly every Monday starting early December this year.

MSL managing editor Evarist Mwitumba said in Dar es Salaam yesterday that the two papers will now seek to offer more in-depth, well researched and analyzed news focusing on three areas namely good governance, rule of law and the anti-corruption crusade in the country.

“We are very proud to have been the pace-setters of investigative journalism in Tanzania. After three years of successful work manifested by the type of stories we have been publishing, we are now looking forward to more exhaustively analyzed stories,” said Mwitumba.

Adding: “We at MSL are even more proud that after having pioneered investigative journalism in the country, a number of newspapers have also ventured into investigative journalism since then.”

The MSL chief said the two publications are determined even more to become a point of reference for the general public, academia, civil society and other institutions on a number of governance issues occurring in society.

He went on to add that the weekly papers will strive to serve readers better through their contents by reporting on serious issues bearing on society at large.

Remarked Mwitumba: “The switch to weekly should enable readers to digest the contents for a whole week and thus get even more value for their money.”

On the other hand, he assured advertisers of getting wider coverage for their adverts since the papers will now be read by a wider spectrum of people and for a longer period of time unlike the daily editions.

“Advertisers should rest assured that the weekly editions will give them more value for their money. This is because the papers are sure to be circulated more widely and, being weekly, to be read for a longer period,” he said.

Mwitumba also noted that MSL will also publish special editions of its papers on specific occasions, on the sideline of the weekly editions.

Established in 2006, THISDAY and KULIKONI became the first investigative newspapers in Tanzania and they have since then unearthed a number of high-profile corruption scandals in the country such as the Richmond emergency power project, the looting in the Bank of Tanzania (BoT)'s External Payment Arrears (EPA) account, among others.
 
Ehee yamewashinda. Unategemea nini kutwa kucha mwaandika habari zile zile isipokuwa a different heading. Kama hiyo haitoshi mnayo magazeti ambayo yanaandika habari zinazofanana. Kisa? Kuwatungua mahasimu wenu wa kisiasa. Basi. Sasa you have burnt out and you are talking of going weekly. Gzeti moja likiwa ni tafsiri kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili and vice versa. Baasi. Hamna jipya. No wonder that seasoned journalist Ben W. Mkapa anawaponda haswa. Hakuna cha investigation isipokuwa umbeya na uzushi tu!!
 
The beginning of the end.... tuliyasema haya hapa, huwezi kuanzisha gazeti kwa ajiri ya kutarget mtu au kikundi fulani kwa chuki tu.

Si waseme yamewashinda waende weekly then monthly then yearly, decadly, century etc. Hakuna cha investigative wala nini majungu tu kwa kwenda mbele.
 
Tatizo la Thisday kama ilivyo Kulikoni walipoanza walianza na "special projectt" iliyo target madhambi ya serikali ya awamu ya tatu. Project ilipofikia tamati magazeti haya yakakaukiwa habari za uchunguzi wa maana. So from being investigative they started being speculative!

Mara utasikia case ya Rada yaiva file liko kwa DPP! File kuwa kwa DPP haina maana kesi imeiva. Matokeo yake tumesikia Sophia Simba anasema SFO walishafunga mjadala kuhusu Chenge na kashfa ya Rada. Mwezi juzi magazeti haya haya yakazusha kwamba Gaileshi (kuwadi wa Rada) ameshikwa na makachero Uingeereza na ataletwa nchini, lakini wapi. Hot Air!
 
Ehee yamewashinda. Unategemea nini kutwa kucha mwaandika habari zile zile isipokuwa a different heading. Kama hiyo haitoshi mnayo magazeti ambayo yanaandika habari zinazofanana. Kisa? Kuwatungua mahasimu wenu wa kisiasa. Basi. Sasa you have burnt out and you are talking of going weekly. Gzeti moja likiwa ni tafsiri kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili and vice versa. Baasi. Hamna jipya. No wonder that seasoned journalist Ben W. Mkapa anawaponda haswa. Hakuna cha investigation isipokuwa umbeya na uzushi tu!!

Kwani hao waandishi wa magazeti hayo ni wanasiasa? Mimi binafsi ni msomaji mzuri wa magazeti haya mawili, hasa This Day kila siku. Nitaya-miss sana kwani kila siku walikuwa wanakuja na habari tofauti na magazeti mengine. Ninachoweza kuwaambia ni kwamba hawajawa fair kwetu sisi wasomaji wao.
 
Baadaye itakuwa monthly halafu quarterly mwishoni hayatakuwepo kabisa. Namshauri Mzee wetu Mengi asiendelee kumwanzishia gazeti kila watakayekwaruzana. Bora angewatumia vijana wa Bongo fleva au futuri kuwabananga wabaya wake. Vinginevyo aimarishe NIPASHE na The GUARDIAN.
 
Gone too soon... Bado tulikuwa tunayahitaji sana haya magazeti kwenye mapambano. Sasa RA, EL na kundi lao watatawala media ya Tanzania na ku-brain wash Wadanganyika kupitia magazeti yao ya Mtanzania, Rai, Tanzania Daima, nk. Mwananchi na Citizen ni Kenyan-owned na yako ki-biashara zaidi.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Huu ni uamuzi wa busara zaidi hasa wanaposema wanataka kuboresha contents. Nivyema tuelewe magazeti haya yangepoteza dhana nzima ya kuwa magazeti ya kichunguzi kamaa wangeendelea kuwa daily maana hakuna uchunguzi unaoweza kuwa kamilifu ndani ya siku moja ( Masaa machache maana kuna printing na distribution time) na uchunguzi huo ukawa yakinifu na wenye content na context za maana.

Kuendeleza zana hii, kuongeza ubora na kulinda heshima walokwisha ijenga kwa jamii, ni uamuzi wa busara kuwa weekly ili watuletee makala za kina na zilizo haririwa kiusahihi.

Najua wote twajua heshma ilokua imejiwekea RAI Nguvu ya hoja (Ya kina Ulimwengu)kabla ya kutwekwa na fisadi RA ambalo nalo lilikua gazeti la wiki.

Nadhani kikubwa hapa, hasa ukiwa na lengo la kuangalia uendelevu wa MSL na magazeti haya ni kuzingatia idadi ya copy zitazouzwa kwa week bila kujali ni daily au weeky paper.

Kwakua weekly naimani litajenga imani zaidi kwa wasomaji na kwahilo wataweza kudistribute copy nyingi zaidi na maeneo mbalimbali zaidi (Wide distribution and coverage). Kumbuka gazeti la jumatatu litauzwa na kusomwa mpaka jpili na ladha itakua ile ile (Perception of timing and issues).

Hongera MSL kwa uamuzi huu, ila kikubwa kweli mboreshe contents za magazeti yenu, na muendeleze uchunguzi yakinifu zaidi.

Bravo
 
Gone too soon... Bado tulikuwa tunayahitaji sana haya magazeti kwenye mapambano. Sasa RA, EL na kundi lao watatawala media ya Tanzania na ku-brain wash Wadanganyika kupitia magazeti yao ya Mtanzania, Rai, Tanzania Daima, nk. Mwananchi na Citizen ni Kenyan-owned na yako ki-biashara zaidi.

Mungu ibariki Tanzania!

RIP thisday and kulikoni. Tutawakumbuka daima na nafasi yenu itakuwa vigumu kujazwa. Amen
 
The beginning of the end.... tuliyasema haya hapa, huwezi kuanzisha gazeti kwa ajiri ya kutarget mtu au kikundi fulani kwa chuki tu.

Si waseme yamewashinda waende weekly then monthly then yearly, decadly, century etc. Hakuna cha investigative wala nini majungu tu kwa kwenda mbele.

Watu wenye mawazo mgando kama ninyi ndio mnaosababisha mwafrika afananishwe na nyani....
 
Ndiyo kwanza Reginald Mengi amekutana na waandsihi wa magazeti pendwa ya uchunguzi ya Kulikoni na Thisday na kuwaeleza kuwa wanabaki waandishi 10 tu kwenye magazeti hayo ambayo yanaanza kuchapishwa mara moja kwa kila wiki. Mengi amewahakikishia wafanyakazi wengine kuwa watapachikwa kwenye vyombo vyake vingine vya habari.

Amesema yeyote mwenye ujuzi wa kutangaza aandike majina yake na akajitokeza msichana mmoja Pendo ambaye alikuwa mwandishi na hayumo kwenye orodha ya 10 wanaobaki.

Mengi akasema kama kuna yeyote anajua ufundi mitambo ya radio na televisheni aseme na ataanza kazi huko mara moja.

Mengi aliwaita waandishi na wafanyakazi wengine wa magazeti hayo pale Morvenpick ambako aliwapa chakula cha nguvu na wale wanaokamata masanga hayaa, waliendelea na kinywaji chao kupoza machungu angalau kwa leo.

Mungu awasaidia na kila heri waliobaki na wale wanaohamishiwa Guardian, Nipashe, Radio One na ITV
 
ITV & Radio one kumepwaya sana siku hizi, watangazaji ni wachache na wengine miongoni mwa hao waliopo uwezo wao wa kutangaza ni mdogo pia.
kibaya zai watangazaji wazuri wanazidi kutimka ITV & rADIO ONE, Kuna mdau kaniambia Neema Mbuja naye yuko njiani kujiunga na timu ya Danstun Tido Mhando!!
 
Back
Top Bottom