Waungwa naombeni njia ya kutatua hili tatizo kwenye computer yangu...inaonyesha black screen na ujumbe wa THIS COPY OF WINDOW IS NOT GUNUINE...
Nitashukuru saana
.........................................................................kaka usihangaike kabisaaa...tatizo limeshaisha hiloo..haya hcukua uponyaji.
K26X7-FFFRX-VWXYM-3WT8M-FP6MB
ingiza hizo keys...
give me the feedback
.........................................................................
Nashukuru sana kwa msaada...nilipewa software na mdau ikawa njia rahisi zaidi..i just keep it
Iyo software inaitwaje mkuu,sababu kuna pc ya rafiki yangu nayo ina shida kama hiyo?