Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,861
- 1,302
nakushukuru kwa kuwa tayari umethubutu, tumia uzoefu wa hizo eka 2
Gharama za kulima ekari 60 za Alizeti si ungenunua Mashine ya kukamua mafuta ya Alizeti, Karanga na Ufuta halafu ukawa unanunua unakamua mafuta hapo hapo kisha unauza kwa chupa zako mwenyewe ???Nimefyeka eneo la ekari 60 Chunya kwa ajili ya kilimo hiki. Nami ni mdau, tushirikiane hasa kwa taarifa tafadhali. Kama kuna group la wadau wa Alizeti naomba mniunge 0679188106
Asante kwa wazo lako. Ila hamu yangu ilikuwa kulima ekari 200. Viwanda vya kukamua ni vingi na inputs hazitoshiGharama za kulima ekari 60 za Alizeti si ungenunua Mashine ya kukamua mafuta ya Alizeti, Karanga na Ufuta halafu ukawa unanunua unakamua mafuta hapo hapo kisha unauza kwa chupa zako mwenyewe ???
Alizeti ya kwenye ekari mia mbili utauza mafuta au utauza Alizeti kavu hivyo hivyo ?Asante kwa wazo lako. Ila hamu yangu ilikuwa kulima ekari 200. Viwanda vya kukamua ni vingi na inputs hazitoshi
Kaka nimeshangaa kuona na wewe ukisubiri mrejesho hapa wakati mwaka juzi nilisoma thread yako ukisema unalima heka 50 na mpaka leo hujaleta mrejesho... mpaka tunaogopa sasa maana kila anaeingia kwenye hiki kilimo harudi na mrejesho nini tatizo tunahitaji kujifunza toka kwenu.Natamani sana kupata mrejesho wa hii project
Kaka nimeshangaa kuona na wewe ukisubiri mrejesho hapa wakati mwaka juzi nilisoma thread yako ukisema unalima heka 50 na mpaka leo hujaleta mrejesho... mpaka tunaogopa sasa maana kila anaeingia kwenye hiki kilimo harudi na mrejesho nini tatizo tunahitaji kujifunza toka kwenu.
Nasubiri sana kujifunza kutoka kwako mkuu kwa sababu unawakilisha vijana wengi wa pambanaji ambao wapo kwenye harakati nyingine na wanahitaji kujaribu kilimoSredi yangu ni ya msimu huu 2021/22 mkuu sio mwaka juzi
Hapa nipo field napambana
Nilitaka kujua kabla sijaingia