Hatuna akili,tulishalogwa wala hakuna mtanzania/mwafrika anaewaza kufanya inventions,hadi chupi tunavaa za mtumba(za wazungu) hatuna uwezo wa kutengeneza za kwetu!!!
Akili tunazo sana, sema kwenye upande wa Science hatujawekeza ipasavyo... Ni kosa kusema tumelogwa WARREN. T moja ya sababu ya kutokuendelea kwa Africa ni kuamini ushirikina (superstition).. Badilika mkuu.. Itaanza na wewe.. Waliwahi kusema waandishi wetu wa habari hawana vipaji leo hii tunao Millard Ayo, Ana Peter, Baba Johnny.. kwenye tasnia ya muziki wakasema tunabahatisha sasa ona Diamond ni global artist, P Square, na wengineo.. Sekta moja baada ya nyingine tutafika...
Kumbuka usikurupuke kuanza kuhitaji mabadiliko makubwa kwenye Science na technology kwa sababu hizo research report ulizoona ni project za matrilioni, tumeanza na kutokomeza malaria then baadae tutaanza kuwatengeneza paka wenye akili sana.. 😁
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.